CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
Say whaaaat
Ntumie namba mchumba
Mizunguko ya maisha kipenziDuuuh wee kipenziiiiii, ndo Diet au? Usijiumize na njaa kuna vidonda vya tumbooo. Uwiiih
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante dear
Miss you tooHelloowww babegirl!!!
Nakumiss kipenzi 😘😘!!
Enjoy your night dear!!😴😴😴
Hivi cocastic
Nataka mpambanoMiss you too
Ndo walala tayari ?
Sweet dreams
Sio njema sana hasa kimaadiliKwa wazazi, hili limekaaje?View attachment 2451785
Kisambaa ndo kizungu ?Nataka mpambano
Wa kuongea hicho 'kisambaa' unachokimudu
Na Saint Anne
Wote si mna ma gpa yalioshiba
Ama nae ni zee zee kama Mimi?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Hivi cocastic
Pamoja na gpa yako ya 21
Unaweza ukaongea ngeli na Tinsley
Iliyonyooka maana huyo manzi sio poa
Ama ndio kama akina sisi
Ze ze nyingiii?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Dada huna mpinzani kwenye ngeli.Kisambaa ndo kizungu ?
Mimi mwenyewe bado najifunza ...
Anne yupo vizuri staa ajabu anaongea vizuri kuliko mie
Kunao wadada kama watatu humuWige mie stakiii ujue?
Huyo tinsiee hata wengi humu hawamuwezi kwa ngeli, yeye kapita mabus ya njano had Chuo kikuu, sasa mie ni St kayumba had chuo, ntafananae kweli?
Nnacho cha kuandika na kujibia madesa basss,
Ngeliii mchezooooo. Lol
Sent using Jamii Forums mobile app
@TinsleyKunao wadada kama watatu humu
Wanatema kinyakyusa hatari
Tinsley akasome
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Nimeishia la 7 CNataka mpambano
Wa kuongea hicho 'kisambaa' unachokimudu
Na Saint Anne
Wote si mna ma gpa yalioshiba
Ama nae ni zee zee kama Mimi?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Muda wa kuhangaika na S Chand& Understanding halafu uje uhangaike tena na Linguistics unautoa wapi Coca?Wige mie stakiii ujue?