Hahaha kwa ulivyo busy , mke mkubwa atakufaidi sana ... Mie nazidi kubaki na upweke lol .Wivu haujengi, wivu unabomoa... kikubwa heshima tu..kama mwanaume anakupa heshima zote unazo stahili wivu unatoka wapi ?
Mke mkubwa anabaki kuwa mlezi ,
Hata Yesu Kristo kuna mda alikuwa anajitenga mahala pa upweke na kuwa peke yake.Okay , upo sahihi
Muda mwingine ni mzuri
Hiyo ni njia yangu , nitapita tu siku
Amen aisee ....Hata Yesu Kristo kuna mda alikuwa anajitenga mahala pa upweke na kuwa peke yake.
Usihofu.. kwa mda sahihi na mtu sahihi kiu yako itakatwaa.. Mwakani hapo tunakula mchele wako hapo
Kupenda wake wenza mbona rahisi sana.. ni kuhakikisha mwanaume ana create mazingira ya lazima ya wote kuona wana umuhimu hata kwa ku create tatizo ambalo litawakutanisha na kila mmoja kumu appreciate mwenzake... Busy ndio nzuri ukiwa.mbali na bi mkubwa unakuwa karibu na bi mdogo mzani una balance vizuri kabisa ππHahaha kwa ulivyo busy , mke mkubwa atakufaidi sana ... Mie nazidi kubaki na upweke lol .
Si unajua sie wanawake labda sijui ufanyajeje wake zako wapendane hivyo .
Sina la kuchangia, mmemaliza mambo yote ya msingi, kilichobaki sasa ni wewe na mkuu wangu National Anthem kuweka tofauti za kiitikadi pembeni na kuona ni jinsi gani mnaweza kutoana huu upweke mnaosema mnao. Haya mambo yanawezekana sana mkuu. Sisi kama wazee tutalisimamia hili lifanikiweKaribu uchangie Mkuu
Tupate somo toka kwa wazee
πππ Ndio ukubwa na ndio ukomavu unaanza hapo kwenye kujitegemea.. Basi unanikaribisha hata kwako siku moja mjomba .. mie sina athari yoyoteAmen aisee ....
Mungu ni mwema
Nimekaa na familia then nikaja kukaa mwenyewe aise inaboa kuwa mwenyewe nitazoea
Ndo hadi Bi mkubwa akuabali aisee bila baraka yako hapo hayaendiKupenda wake wenza mbona rahisi sana.. ni kuhakikisha mwanaume ana create mazingira ya lazima ya wote kuona wana umuhimu hata kwa ku create tatizo ambalo litawakutanisha na kila mmoja kumu appreciate mwenzake... Busy ndio nzuri ukiwa.mbali na bi mkubwa unakuwa karibu na bi mdogo mzani una balance vizuri kabisa ππ
π π π π mzee unanikatia wayaaa. mie sina athari kikubwa tu nijue nyumba analipa mweyewe auTinsley, mwanaume hakaribishwi ghetto. Hadi awe mchumba na mahari ameshalipa..
π π π bi mkubwa mzungu hana nomaNdo hadi Bi mkubwa akuabali aisee bila baraka yako hapo hayaendi
Kwanza atakuhoji umekosa nini kwngu hadi ukaamua kwenda nje ?
Umtulize kwanza
Hahaha chitchat hii tuSina la kuchangia, mmemaliza mambo yote ya msingi, kilichobaki sasa ni wewe na mkuu wangu National Anthem kuweka tofauti za kiitikadi pembeni na kuona ni jinsi gani mnaweza kutoana huu upweke mnaosema mnao. Haya mambo yanawezekana sana mkuu. Sisi kama wazee tutalisimamia hili lifanikiwe
Mimi kama mzee wa mji wa jf nina jukumu la kuhakikisha hawa binti zangu hawawi sehemu ya starehe za vijana wa humu. Toa mahari na kila kitu tukupe binti mbichi kabisa huyuπ€£π€£π π π π mzee unanikatia wayaaa. mie sina athari kikubwa tu nijue nyumba analipa mweyewe au
Mambo mazuri yanaanza na chitchat mkuu. Hata sisi wazee wenu tulianza hivi hivi na utani kidogo, leo hii tumetengeneza miji yetu.Hahaha chitchat hii tu
Bwana National amenogewa na penzi humuoni ana furaha sana siku hizi , chezea ndoa changa
Nilivyo na aibu siwezi karibisha mtu ghetto ... Had I nizoeee kwanzaπππ Ndio ukubwa na ndio ukomavu unaanza hapo kwenye kujitegemea.. Basi unanikaribisha hata kwako siku moja mjomba .. mie sina athari yoyote
ππππ hata mie uncleNoted
Sikakaribishi mtu
Thanks
Sasa mie mjomba kuna shida gani jamani ππNilivyo na aibu siwezi karibisha mtu ghetto ... Had I nizoeee kwanza
Asante kwa ushuhuda aiseeeMambo mazuri yanaanza na chitchat mkuu. Hata sisi wazee wenu tulianza hivi hivi na utani kidogo, leo hii tumetengeneza miji yetu.
Ngoja nikijipanga vizuri hadi nikae kwa apartment lol sijui mwaka gani .Sasa mie mjomba kuna shida gani jamani ππ
πππ hapo hapo gheto ndio pazuri kumkaribisha mgeni, huko kwa apartment pa kishua sanaNgoja nikijipanga vizuri hadi nikae kwa apartment lol sijui mwaka gani .