Ebu nenda kamalize CA zako..achana na habari za picha.. picha naweza tupia hata ya ku download banaa
Hehhe utualike anniversary mwakani basi tukale machopo chopo Mlimani city .πππ mie huyu nipo single, natafuta mtoto mzuri kama wewe..
Hamna sio bila bila Mungu anakuandaa kwanza, ujifunze.. ukiingia kwenye ndoa hujajifunza na Mungu kukubadilisha ndio hatari zaidiTuombe kwa Mungu ...
Hadi sasa tunamaliza bila bila
π π π π π π unanichania mkeka mie..
Ile Pete unavaa ili iweje kma unatafuta .πππ mie huyu nipo single, natafuta mtoto mzuri kama wewe..
πππ niombee nipate sasa .. maana nina saka kila nae mgusa naangukia puaHehhe utualike anniversary mwakani basi tukale machopo chopo Mlimani city .
pete ya freemason ile πππ isikumbue kama upo single na mie nipo single tulianzishe tyuuuIle Pete unavaa ili iweje kma unatafuta .
Amen asante sana ... Mungu ni mwema .Hamna sio bila bila Mungu anakuandaa kwanza, ujifunze.. ukiingia kwenye ndoa hujajifunza na Mungu kukubadilisha ndio hatari zaidi
Single yako ya mchongo... Nipo single kwa vijana ambao hawajaoapete ya freemason ile πππ isikumbue kama upo single na mie nipo single tulianzishe tyuuu
Bado binti mmbichi kabisa mzuri, huna haja ya kuhofu. Mkabizi Mungu mapito yako nae atayathibitisha.. Relax Focus na Mungu, Focus na Miasha yako.. Mungu anaandaa kilicho bora na usichokitegemea wala hujawai kukiota maisja mwako ili akupe furaha na kuondoa machozi yako ya uchungu na kukujaza machozi ya furahaAmen asante sana ... Mungu ni mwema .
Amen , utapata tuπππ niombee nipate sasa .. maana nina saka kila nae mgusa naangukia pua
π π π acha woga nipo single uje tuyajenge tu... na hata kama nimeo mie naitwa Masoud, naruhusa ya kuoa wanne.. hofu yako nini mtoto mzuri mmbichi kabisa usie na makuuSingle yako ya mchongo... Nipo single kwa vijana ambao hawajaoa
Wanaume walioa nawaogopa kama ukoma .
Thank you , be blessed abundantly ..Bado binti mmbichi kabisa mzuri, huna haja ya kuhofu. Mkabizi Mungu mapito yako nae atayathibitisha.. Relax Focus na Mungu, Focus na Miasha yako.. Mungu anaandaa kilicho bora na usichokitegemea wala hujawai kukiota maisja mwako ili akupe furaha na kuondoa machozi yako ya uchungu na kukujaza machozi ya furaha
π π π mtoto mzuri huyo ana wasi wasi nimeoa , ilhali anajua na mie single mwenzake ila tutafikia hatma nzuri tu kwenye watu wazima hakuna kinacho haribikaNafatilia kwa karibu sana mjadala wa National Anthem na Tinsley. Mnaenda kubitimosha vizuri
Karibu uchangie MkuuNafatilia kwa karibu sana mjadala wa National Anthem na Tinsley. Mnaenda kubitimosha vizuri
Kuna kipindi Mungu anakufanya uwe mpweke ili akuhudumie...Thank you , be blessed abundantly ..
Upweke utanimaliza aisee . naogopa kuelekea 30 huku
Hata kama dini inaruhusuπ π π acha woga nipo single uje tuyajenge tu... na hata kama nimeo mie naitwa Masoud, naruhusa ya kuoa wanne.. hofu yako nini mtoto mzuri mmbichi kabisa usie na makuu
Wivu haujengi, wivu unabomoa... kikubwa heshima tu..kama mwanaume anakupa heshima zote unazo stahili wivu unatoka wapi ?Hata kama dini inaruhusu
Mie bhana , nina wivu siyawezi hayo mambo
Mke mkubwa ndo anapendwa hapo ... Ya nini kujichosha mie
Okay , upo sahihiKuna kipindi Mungu anakufanya uwe mpweke ili akuhudumie...
Upweke ni mzuri sana kama utautumka vizuri.. fanya uwe hata unakuja pale , unasalimia salimia πππ