Mweh how I wishUsinambie kitu tayari dearπππππππ?
Aririririririiiiiiiiii π€Έπ€Έ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendraaaaa huko.Punguza
Kuniandikia sayansi kimu
Sijasoma kama wewe
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mbona una ngeli nzuri sana
Wachaaaa weee!!!Kila la kheri ..
Naupendaga mwezi huu mzuri kwa kuconceive .
Mungu ni mwema atasababisha kipenzi!! Enjoyyyyyy πMweh how I wish
Ila bado mwezi haujaisha lol .
Mapema tu kababy hako..Wachaaaa weee!!!
Na sisi December 2023 siku ya graduu tutakua na katoto ketu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katakua na 3 months πππ!!Wachaaaa weee!!!
Na sisi December 2023 siku ya graduu tutakua na katoto ketu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uombe Mungu isisumbue!!Mapema tu kababy hako..
Bonge moja la party .
Ila shoga , first trimester inavyozingua si kwa wote ila .
Asante ila badoMungu ni mwema atasababisha kipenzi!! Enjoyyyyyy π
Amen amen kipenzi nakwako pia!!
Una vidole na kucha nzureeeeπππ
πππ safi una bembeleza huku unapitisha kucha kama unakata taratibuu huwa rahaaa π€£π€£π€£π€£ unasikia kamsimsiko ka ki Pro MaxJumapili tulivu wapendwaπ
View attachment 2450437
4 months bhanaaa, yaan had kofia za Joho katatuvua kenyewee.Katakua na 3 months [emoji16][emoji16][emoji126]!!
Duh hatari , kuitwa mama si mchezo .Uombe Mungu isisumbue!!
Kemea hio rohoooo na ishendweeeee!!!Asante ila bado
Mchuchu mwenyewe sina hahaha
Nisije Baki na huzuni .
Aaaah finalist sisi tushakua wazoefu, hatutasumbuka sana, labda ujauzito usumbue, hapo sawaaa.Mapema tu kababy hako..
Bonge moja la party .
Ila shoga , first trimester inavyozingua si kwa wote ila .
Kama unakata nini mjomba Hebu nipe somo nimfurahishe mtu shangazi ako miee!![emoji14][emoji14][emoji4][emoji4][emoji4] safi una bembeleza huku unapitisha kucha kama unakata taratibuu huwa rahaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unasikia kamsimsiko ka ki Pro Max
AmenKemea hio rohoooo na ishendweeeee!!!
You will be happy forever!!
Ukiwa preg hutakiwi kabisa kuhuzunikahuzunika wala kujistresss!
Everything gonna be oooukeeeeeyyyy[emoji8][emoji8]
π π π π Shangazi unajua hizo kuzitumia banaaa..Kama unakata nini mjomba Hebu nipe somo nimfurahishe mtu shangazi ako miee!![emoji14][emoji14]
Weee kameingia Dec katazaliwa sept Then Dec katakua na 3 months banaaaa4 months bhanaaa, yaan had kofia za Joho katatuvua kenyewee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Sijui mjomba nipe maelekezoooo Nimfurahishe babaenuuu mjombaaa!π π π π Shangazi unajua hizo kuzitumia banaaa..
Amen !!Amen
Asante kwa kunitia moyo sis
Tuombeane heri tu ....