Selfika na JF: Snap it. Show it

Mabaya sana usiniulize kwanini,, nimefurahi kujua u mzima ila na wewe naona uliamua kutukimbia kwa muda humu..
Basi nipite pasipo kukuuliza ni kwa nini japo sio ubinadamu kufanya hivyo. Uraibu wa huu uzi ni mkubwa sana, nashukuru Mungu baada ya kufanyiwa rehabilitation nikifanikiwa kuukimbia. Sijui ni nini kimenirudisha hapa tena?
 
ni uraibu huo huo ndiyo umekurudisha,, uraibu wa huu uzi hautibiki hata kwa rehabilitation tujibebe tu..
Basi nipite pasipo kukuuliza ni kwa nini japo sio ubinadamu kufanya hivyo. Uraibu wa huu uzi ni mkubwa sana, nashukuru Mungu baada ya kufanyiwa rehabilitation nikifanikiwa kuukimbia. Sijui ni nini kimenirudisha hapa tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…