Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,556
- 235,330
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unauliza mtu hawezi kujisimamia huku yupoo kule hataki kuachiaa yaniniii!!?? Tupa kuleee
ivi kuna sikukuu eeh π³π³Usifanye hivyo bana
Tuma hela baby anunuliwe nguo za sikukuu afurahi.
Eeh kuna sikukuu kama 3 hiviivi kuna sikukuu eeh π³π³
Ndio ndio, ufundi unaweza ukawa nyumbani au kiwandani huko, Love technician , au civil technician
Af ukanibania picha, muoneMbudyaa njoo basi ππππ€£ Lenie View attachment 2448875
HeeeNdio ndio, ufundi unaweza ukawa nyumbani au kiwandani huko, Love technician , au civil technician
πππππ si ile siku nmerudi nilikutumia pm?Af ukanibania picha, muone
Mbudya vere soon, tafuta kiwalo
Arudi seriously??? Katafuta ya kuyatafuta hukooo aje kuyaleta kwako!!!???? uchingaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm nauliza niwe na hakika
Ili hata baadaye ikitokea akajitoa ufahamu kurudi basi asije tafuta cha kusingizia.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Unawekeza mudaUkiona mtu ameaumia ujue aliwekeza.
Cha kwanza kabla ya vyote ni muda.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mwee saivi wanga wengiHujashiba tu??πππ Nogesha store kwanzaa basiii
Jeans mchaniko na visendo vya manyoya vya kahawiaMbudya vere soon, tafuta kiwalo
ππ kuna Architecture of loveHeee
Kwamba kuna mpk Love civil engneering
Visendo vya manyoya π€£π€£π€£π€£π€£Jeans mchaniko na visendo vya manyoya vya kahawia
Lol basi badae!Mwee saivi wanga wengi
Poa dearLol basi badae!
ππππππ nacheka na ile warning ya janaUnaachaje kwa mfano kufurahia
Na me ndio ze one and only dada mkwe πππ
Nitawaombea... Tuanze mwaka vizuri .Sawa kipenzi ibada njemaa!! Utuombee nasieπ!
Mwanga mwenyeweMwee saivi wanga wengi
Ndio status uturushe roho π€£π€£πππππ si ile siku nmerudi nilikutumia pm?
Au ulitaka week nzima nipost status