Niko bomba jiraniSijambo jirani, unaendeleaje
Santee π₯°Umependeza mamaa ππππ
Nakwako pia dear!!!ππ Good morning πIjumaa Kareem wapendwaβ£οΈ
View attachment 2448499
Thanks dearπNakwako pia dear!!!ππ Good morning π
Niko poa sana mamilooo!!Thanks dearπ
Za wewe
Zipo ovyo mkuu , nguvu za kupiga picha sina .Ebu tuone
InapendezaNiko poa sana mamilooo!!
Ndio kufanyeje huko.. sasa Sie ndio washamba ile typical ππ. Wengine ndo wanatuita rough hivyo yaani
Kama mie nimezidi sijatrim eyebrows yaani hapa natisha ..
Ivoivooooo tuone namie nijue maana ya kustream eyebrow pullliiizzzzzzzzzzzzzzzZipo ovyo mkuu , nguvu za kupiga picha sina .
Wee Lenie mmemfanya nini mr vocha mbona sikuhizi hatupii ma selfii lakini??Santee dear
πππππNimecheka..kustream Tena!!..Ivoivooooo tuone namie nijue maana ya kustream eyebrow pullliiizzzzzzzzzzzzzzz
π€£π€£π€£π€£ππ Ushamba mzigo dearπ€£πππππNimecheka..kustream Tena!!..
Kutinda nyusi dear tuNdio kufanyeje huko.. sasa Sie ndio washamba ile typical ππ
Embu tuone hizo nywele tank mrembo Cha upoleKutinda nyusi dear tu
Nahisi hujanifikia mie nipo na nywele tank hapa kwa kichwa na sina habari .
January Ntapita kuwasalimia hapo gym kuna gym ya kupunguza kitambi??π€£π€£Hahaa huko nitaenda jioni
πΈ
Kuzitinda tu nyusi ziwe zinapendeza na kuvutia ...Ivoivooooo tuone namie nijue maana ya kustream eyebrow pullliiizzzzzzzzzzzzzzz
Ahaaa kumbe!! Hauna ka selfii ka Nywele tank nionepo kipenzi??πKutinda nyusi dear tu
Nahisi hujanifikia mie nipo na nywele tank hapa kwa kichwa na sina habari .