Yeah kunyoa ni raha
Sasa hivi bei za vitu zipo juu ,ununue mafuta ya maji , gel, mafuta ya mba , hairspray , conditioner na kasteaming .
Bado hujaenda saluni hapo
Naunga mkono hoja ....