Hello ,morning beautiful sisyMorning babegirl β!
Na usiwe unaswampa sanaKweli kabisa ,otherwise uwe unaziwezea ..
Red nayo nzuri haimkatai mtu .
Tuko vyedi sana kipenzi!! Miss you πHello ,morning beautiful sisy
Mmeamkaje ?
Hata kujisugua vizuri mwilini utashindwaπ€£π€£π€£Sasa mm si ndio nitashindwa hata kukata kitunguu? ππ
Wanawake wa Dar na vitu vyenu hivo
Nakuona ulivyotype huku picha yake imekujia taswirani π
Mdada fulani hivi classic kama hauna gari chap unaita bolt au bajaji.Na usiwe unaswampa sana
Ndio, ila kama unaparangana na boda boda na mwendokasi bora tu kutobandika miguuniMdada fulani hivi classic kama hauna gari chap unaita bolt au bajaji.
Miss you too dear ...Tuko vyedi sana kipenzi!! Miss you π
Yaniii likizo inawahijee kuishaaa dear!!Miss you too dear ...
Siku zinasogea tu , it's almost Christmas .
Ndio, ila kama unaparangana na boda boda na mwendokasi bora tu kutobandika miguuni
Unajipatia majeraha ya asubuhi asubuhiKha kwenye daladala inakera mtu akukanyage dah , hapo mmebanana hakuna hata pa kushikilia.
Ukishuka kucha ishakatika
ππ kumbe umeiwahiiπ!Kitu naked mapemaa
Very biurifooo π
Rangi ya Mtume
Duh ,pole na January ikifika hapo chap tarehe za kufungua hizo .Yaniii likizo inawahijee kuishaaa dear!!
Niko live πππ kumbe umeiwahiiπ!
Santo sana!!
Kabisa dear!! πDuh ,pole na January ikifika hapo chap tarehe za kufungua hizo .
Enjoy tu siku zilizobaki
Urembo kazi aisee ,nikikaa kwenye dryer najiuliza hivi nimetumwa ...madryer mengine mabovu ukikaa tu unasikia moto mwanzo mwisho .Unajipatia majeraha ya asubuhi asubuhi
Utamwambia Anne haamini nimekua kimodooo ππ!Niko live π
Af umekua kamodo, kalito litoπ₯°
Yeah , live for the momentKabisa dear!! π
Ndiomana naogopa kuweka dawa mie ule motooππππ!!Urembo kazi aisee ,nikikaa kwenye dryer najiuliza hivi nimetumwa ...madryer mengine mabovu ukikaa tu unasikia moto mwanzo mwisho .