Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wachaaa wee, sasa uchebe mbna siuoni? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu kaanze GYM mara 1, mbna Kifua hakija jiachaa?? Wahi mazoezi haraka iwezekanavyooo.

Kitu nakedddddddd!! Weraaaaaaaaaaah.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utawasimilia kitu naked😁

Tangu nimekuacha Golden Tulip nimejiachiaaa🤣🤣🤣
Hakuna cha Gym wala nini
Mimi nachapa ugali tuu
 
Utawasimilia kitu naked[emoji16]

Tangu nimekuacha Golden Tulip nimejiachiaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna cha Gym wala nini
Mimi nachapa ugali tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko kisa tumeachanaaaa, bas ndo umeamua kujiachia uwe nyama uzembeee? Kwan babee wako mpyaa anataka kitambiiiii? Uwiiiiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya supu, shushia cocacola baridi..

IMG_1858.jpg
 
Back
Top Bottom