Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Niko hapa kakake
Unataka kunipa hela?
Niko hapa kakake
Msukuma tulia nipate mzungu mimiKaa kwa kutulia
Mjini Kuna vya watu
Utakwangulia
Unirejee ukilialia
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Sasa tukuyu ikipata baridiMwee
Nendeni na Tukuyu,huko utapata baridi ya kutosha
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hakuna Babu humuMie nimemtania Wige na babu yake Grahams tu coca alipotokea na anajua mwenyeweee!![]()
Mhhhh hili joto ni balaaaSasa tukuyu ikipata baridi
Si itakuwa balaa?
Aiache hapo hapo kyela Ile joto
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Sitaki unanimalizia dk zangu na sina wa kuninunulia vocha🤣🤣
Eee?Utugee location mapema tukuje kukumwagia maji
Mwehuuu weweee!!!🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio kama hivi🚶♀️🚶♀️🚶♀️Jikatae
Bday yake lazima tumuogesheee
Sukima gang hiyo
"Sukima"Sukima gang hiyo
Utafumuliwa kizazi
Shauri yako
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app

Sahihi kabisa, unakuta weekend yako umepumzika kwenye jamvi yeye anakukuna taratibu na vidole vyake laini 🙈🤸🤸🏃🏃🏃🏃hiko muhimu kua nacho angalau bibi apate pa kuchezea
Labda kwasababu wanahusishwa na mambo ya kiroho??🤔🤔Huyo mnyama nimeshindwa kumpenda kabisa licha ya upole wao, I see more comfortable with dog 🐕 rather than Paka.
Karibu 🙂
Inaweza kuwa ni sababu moja wapo, unaweza kudhani Paka kumbe Wazee wa kazi wamekuja kumjaribu Mgeni 🙊Labda kwasababu wanahusishwa na mambo ya kiroho??🤔🤔