Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Endelea kutia uvuviKuwa na adabu kwa Wazee Kijana, unataka tufe na Presha tukiwa kifuani?
Wengine mambo haya tumewaachia Vijana tu
Kyela sehemu Gani lol!!?? Juzi nilipita hapa kuchukua dawaa nimekuja Mbeya Tumbo likaanza kuniuma kweli kweli
Hayaaa kumekuchaaaaaaaaaa!!!!! Mambo ndo hayaaaa sasa,Tena leo sheria ya kuheshimu ndoa za kila aina imetiwa sahihi. Ushindwe mwenyewe tu mjukuu!
View attachment 2446572View attachment 2446573
Nipe kwanza umbea[emoji4]Hebu niitie JD Bhanaaa, sijamalizana nae.
Afu jana kupost vocha za airtel ndo nn afu skuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe bado kabinti kadogo Sana, ngoja siku moja unione Babu yako 🤪[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo mwaka 83 baba angu yuko 4m 6 ndo wee uwe kazini? Hebuuu huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapahapa boda.Kyela sehemu Gani lol!!?? Juzi nilipita hapa kuchukua dawaa nimekuja Mbeya Tumbo likaanza kunium kweli kweli
Jicheketue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo mwaka 83 baba angu yuko 4m 6 ndo wee uwe kazini? Hebuuu huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chizi wallah. Haya bhanaaa.Kumbe bado kabinti kadogo Sana, ngoja siku moja unione Babu yako [emoji2957]
Ila miwani tu usisahau
Lol ntakutafuta kama bado utakua Mbeya!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weee ushaanza mambo yakoo, uzee autoe wapiii? Kijana mdogo huyoo hata 40s hajafikaaaa.
Unafurahisha Sana, nikija kukuona lazima nikupige na OFA ya Creti 5 za Balimi 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
KaribuLol ntakutafuta kama bado utakua Mbeya!!
Ndaga fijoo
Chagua mmoja hapo![emoji6]Natakaaaa mchumbaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kyela kuna hilo jotrooooo yeeuwiiiii🙌🙌🙌!!