Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo ni yule first born wangu πŸ€ͺ

Next time Bibi yenu akiridhia nitaweka moja πŸ€—
Sawa babuu usijareeee✌️✌️✌️!! Ukiweka usisahau kunitag pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! Uwe na Trip njema uendako!!
 
Tatizo cc hatuna likizo ya xmass, kuna li lekchs limesema tar 24 usiku eti pepa mxxxieeeeew.

Linaboaaa hili Li baba khaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha..............pole Mkuu, Shule ya Mlimani na Ardhi ziko hivyo.

Uzuri wake ndiyo uko last year, so mwakani muda kama huu utakuwa unazunguka na bahasha kuomba Ajira πŸ‘πŸ‘
 
Hahahaha..............pole Mkuu, Shule ya Mlimani na Ardhi ziko hivyo.

Uzuri wake ndiyo uko last year, so mwakani muda kama huu utakuwa unazunguka na bahasha kuomba Ajira
huu mwaka uisheee nipumuee kwa kweli,
Finalist yeaaaah, tunamaliziaaaa maliziaaa tulichokijiaaa.

Mwendo wa kusaga lami na bahasha ya khaki. Uwiiiiih.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…