Zimesalia siku chache mwaka uishe.
Tuzidi sana kumwomba Mungu atuvushe salama,sisi pamoja na wapendwa wetu wote.
Shetani naye yupo kazini kuhakikisha anavuruga na kushambulia watu wasivuke.
Ila Mungu wetu ni mwaminifu sana.
Upatapo muda,waweke ndugu zako kwenye maombi mara nyingi kadiri uwezavyo.
Sent from my TECNO CG6 using
JamiiForums mobile app