Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
Kila nikiingia sioni selfie naona mnachat tu ,bila kutupia picha
Hivyo ulisema unataka ona picha maana umenisahau eti.?
Kila nikiingia sioni selfie naona mnachat tu ,bila kutupia picha
Waoh waoh ,yes haya ndio mambo sasa
Kunywa mtori kwa mangi apo
Mkuu ,mke wangu huyo ,hahahaha, punguza speedKunywa mtori kwa mangi apo
Naingia m-pawa kukopa naja lipa bill.
We mtoto unaonekana una vitu vingi sana basi tu
Tusiwasikilize bana kwani walikuwa wapi kuomba 😂😂😂 😂
Depal unaona sasa..!?
Sio we na Karma ndio mkae kando?
Hapo sasa 🏃🏃Haha. Ni mdogo wangu huyo na ndo alotoa idea hiyo ujue!! Mbona unataka kum ditch.?
Good
hahaha! Kuwa na amani kabisa, sisi wengine ni nyoka wa kibisa hatuna madhara kabisaMkuu ,mke wangu huyo ,hahahaha, punguza speed
Kuwa na Aman mkuu, nazingua tu kusogeza sikuhahaha! Kuwa na amani kabisa, sisi wengine ni nyoka wa kabisa hatuna madhara kabisa