carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Wachaaa



#unatakawakuzoom?
Wachaaa



Ndio katoka kumaliza diploma ya kuuliza maswali...Yuko darasa la ngapi?
Hahahaha wapi nilivaa tu baada ya timu yetu kushinda aise


Jana nilimix yokozuna na milk stout na konyagi na balimi..hapa natamani kichwa nikitumbukize kwenye fliza
No bebe...kuzoom hairuhusiwi 😂Wachaaa
#unatakawakuzoom?
Hahaha..!!Naanzaje kusahau sasa?!
Nataka ya full 😉🏃 eti tu unaziba na emoj kidunchu 🏃🏃🏃
Nimepost humu kama mara 3 etii mumie..!!Na mimi sijaona picha yako jamani
Basi tupostiane kwa Waziri mkuu 🏃Hahaha..!!
Unataka wasiojulikana wapite na Mimi mdogo wangu jamani.?
😂 😂and me![]()
Una hamu ya laana?
List ipi hiyo?
Haha. Ni mdogo wangu huyo na ndo alotoa idea hiyo ujue!! Mbona unataka kum ditch.?



Jesu
Jana nilimix yokozuna na milk stout na konyagi na balimi..hapa natamani kichwa nikitumbukize kwenye fliza

usije tu sema ana maswali mob..
Ndio katoka kumaliza diploma ya kuuliza maswali...
Hahaah...maalumu kwa ajili ya selfie sio