Kananiambia Mama nataka niwe Daktari Mimi!namuombea na ntapambana mpk last point aseehh afikie ndoto zake!!!
Thanks broo mmepata hiiSelfika na #tigo#
*104*289830336879361#
Na hii pia nimepata ahsanteSelfika na #halotel#
*104*5642012136171#
Ngoja nisubiri halotel nyingine kama itakuwepoSelfika na #halotel#
*104*5642012136171#
Atakuwa Daktari[emoji7]Kananiambia Mama nataka niwe Daktari Mimi!namuombea na ntapambana mpk last point aseehh afikie ndoto zake!!!
Yaani kanisapraizi mwenzenu na hivi niliyumba na miye nikamtoa private Sasa akaenda tu shule za kata ....!kiukweli Mungu huyu anajua kunifuta machozi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na lazima apambane Yuko Shule tayari za masista hizi wameenda Pre form 1 ..Namuombea sana kwa MunguAtakuwa Daktari[emoji7]
Wengi wenye ndoto za udaktari huwa na juhudi sana kwenye masomo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Soon huku nako watakata hebu nichaji kabisa hiki kimeo changu!!Tumerudi enzi za miaka ya 70
Mwezi nao uteremke mama.
Aiya iya iya iya mama[emoji91]
We mama njoo
Njoo uone Tz ilivyobadilika
Tz ya leo,imejaa kiza Totoro[emoji91][emoji91][emoji7]View attachment 2434724View attachment 2434725
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hongera sana mamaaa Mungu ampiganie atimize ndoto zake!! Koku alige???Kananiambia Mama nataka niwe Daktari Mimi!namuombea na ntapambana mpk last point aseehh afikie ndoto zake!!!
Yaani kanisapraizi mwenzenu na hivi niliyumba na miye nikamtoa private Sasa akaenda tu shule za kata ....!kiukweli Mungu huyu anajua kunifuta machozi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hamieni Dom hakuna kukata umemeSoon huku nako watakata hebu nichaji kabisa hiki kimeo changu!!
Tanesco [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Thanks dear tunapambana walimu sisiHongera sana mamaaa Mungu ampiganie atimize ndoto zake!! Koku alige???
Yanii ishakua kero kubwaaaa
Ndio dear wamefuzu Robo fainali 3-1 USA wapo wanaliaaa tyu wanaenda kubeba ViragoAsante kwa update
hao ndo waholanzi eeh ?
Hongera madamNilikua Sina ht Salio na nilikua najaribu maana zilipita 10mins...watu wapo Kwa kombe la Dunia hukooo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
duh balaaNdio dear wamefuzu Robo fainali 3-1 USA wapo wanaliaaa tyu wanaenda kubeba Virago