Mwishowe utumbo uharibike hasara kwa nani πWell said ,
mtu apende inner character yako na sio appearance.
unywe madawa ya tumbo upate diarrhoea ya nguvu ππ
mie sasa hivi najiachia , kupungua kutakuja kwenyewe kukitaka .
Kama ulishindwa kuniuaAngalia usifie kifuani mwao msukuma
Ila weweMchana mwema wapendwa!!
Enjoy your weekend [emoji3577][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23] hii imenishinda. Na nnavyopenda kula Mimi.Bora mtu akupende tu jinsi ulivyo na kitambi chako sio ukiwa naye unaanza kubana tumbo uonekane flat ya nini shida zote hizo mwee [emoji23]
Mbinguni tutapewa miili mipya kwanza
nilinunuaga dawa za tumboMwishowe utumbo uharibike hasara kwa nani π
Kwenye kula hapo hee wengine kula ndio starehe yetu kubwa, watuvumilie tu hamna namna.
Kula tu enjoy
Umependedha madame. [emoji137]Mchana mwema wapendwa!!
Enjoy your weekend [emoji3577][emoji8][emoji8]
DadanguBora mtu akupende tu jinsi ulivyo na kitambi chako sio ukiwa naye unaanza kubana tumbo uonekane flat ya nini shida zote hizo mwee [emoji23]
Mbinguni tutapewa miili mipya kwanza
Tule tu kwakweli hamna kujibania π€£[emoji23][emoji23][emoji23] hii imenishinda. Na nnavyopenda kula Mimi.
Asubuhi tu nikiamka ndiyo huwa Sina tumbo. Ngoja nishibe ss, uone linavyochomoza [emoji1][emoji1]nilinunuaga dawa za tumbo
hazikuwa bei , sikuona matokeo japo
nikinywa wakati nimetoka kula ndo tumbo lauma.
baadae nilizitupa huko
Mimi pia napenda kula pia haswa vitamu vitamu.
kitu lainiiiMchana mwema wapendwa!!
Enjoy your weekend [emoji3577][emoji8][emoji8]
Mi hata sihangaiki nalo kbs. Nakula tu vitamu vitamu. Akiniacha aniache [emoji23][emoji23][emoji23]Tule tu kwakweli hamna kujibania [emoji1787]
Hizo dawa naonaga nyingi usaniinilinunuaga dawa za tumbo
hazikuwa bei , sikuona matokeo japo
nikinywa wakati nimetoka kula ndo tumbo lauma.
baadae nilizitupa huko
Mimi pia napenda kula pia haswa vitamu vitamu.
Kanifundishe na mie kucheza kama hivyoπ₯°
Basi uje tu mahala usijali ππKanifundishe na mie kucheza kama hivyoπ₯°
Tambi lipo kakangu. sema tu nguo linalifichaDadangu
Wewe ni mrembo
Kitako Cha kisukuma sio mneso Wala mlegezo
Rangi asili ya nyeupe
Umbo la kibantu
Sura ya upole yenye akili mingi
Hilo Tambi unalitolea wapi [emoji848]
Bora mtu akupende tu jinsi ulivyo na kitambi chako sio ukiwa naye unaanza kubana tumbo uonekane flat ya nini shida zote hizo mwee π
Mbinguni tutapewa miili mipya kwanza
Mnaniuaaa mbavu hukuuuuπ€£π€£π€£π€£π€£!!Mwishowe utumbo uharibike hasara kwa nani π
Kwenye kula hapo hee wengine kula ndio starehe yetu kubwa, watuvumilie tu hamna namna.
Kula tu enjoy
Kama mie asubuhi unaweza jihisi unepungua . nikijiangalia kwa kioo ndo kabisa π€£π€£π€£Asubuhi tu nikiamka ndiyo huwa Sina tumbo. Ngoja nishibe ss, uone linavyochomoza [emoji1][emoji1]
KabisaTambi lipo kakangu. sema tu nguo linalificha
Hizo sifa zote zangu kaka[emoji3059][emoji3059]
Hadi niivae tena sasa π !!Geuka