Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,358
Mimi nataka muwe hivyohivyo mnapendezana shouss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah sitakiii mie, afu em hukoooo naweee.
Muite Pep kwan akujee huku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapigwe tu πMida mida karibu tuangalie mechi ya morroco.
Mwaka huu tunajambo letu cster.
Ndioπ€£π€£π€£Hao ni watu sita tofauti πππ
Mngh!
Ndio nzuri pale zinapopita pita shingoni hivi lazima usisimuke tuππHapana aisee Ndevu kma stiliwaya
Mtakatifu mtakatifu Baba yetu uketiye mahali pa juu, tunakuomba utuepushe na dhambi ya kusema uongo..........
Canada vs morroco.Ooh thank you
wanacheza na nani ? , mtupe info please .
mpira upo tofauti mwaka huu ngoja tuone .
Niseme uwongo ili iweje mpenzi ππKumbe kuna wanaume ambao hawasemi uongo na hamsemi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzuri niko njiani naenda church kuombaMtakatifu mtakatifu Baba yetu uketiye mahali pa juu, tunakuomba utuepushe na dhambi ya kusema uongo..........
Niendelee Saint Anne?
nani yanga? Na ihefu ehWapigwe tu π
ππAsubuhi ukiamka kama umekwanguliwa na uma ππNdio nzuri pale zinapopita pita shingoni hivi lazima usisimuke tu
AmenCanada vs morroco.
Croatia vs Belgium
Yes ni tofauti mwaka huu it's coming home via morroco
Ila usiku zikipita unasikia raha π πππAsubuhi ukiamka kama umekwanguliwa na uma ππ
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwahiyo unadanganya kwakuwa unaenda church kuomba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzuri niko njiani naenda church kuomba
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Utanigombanisha na watu πππnani yanga? Na ihefu eh
Nyie bila kusema uongo nahisi mtapungukiwa damuNiseme uwongo ili iweje mpenzi ππ
Asante Sana. BarikiwaKaribu pia naelekea church mida hii
Raha wapi kuuguza vidonda tuπNdevu hazina hata rangi utasema kapita barabara yenye vumbiIla usiku zikipita unasikia raha π π