π€£π€£π€£ raha sana mwanamke akikutongoza. Uzuri wa sisi vidume huwa hatunaga kulemba kama wao tukiwatongozaga, sisi tukitongozwa hata akitaka game muda huohuo anapelekewa moto
Nitakutumia ka photo uone ilivyo pisi.. Haya mazari nadra, nilijua alikuwa ananifatilia mala ya kwanza alikuja hapo hapo akaniulizaga wewe ndio flani, nikasema hapa akaondoka akaenda akaaa akasepa, leo naona kachoka kuvumilia kaja straight π π π π mie hata sasa hivi akiniita nikamle naenda tu hatuna tabu sie π€£
Kazuriii sana mwanawane hadi roho ilifurahiii ππππ.. haka nita ka set nje kabisa ya dsm.. Siku mie nikipanga kufurahia naenda nako mwanza au Arusha nakaa nako wiki nzima π€£π€£π€£π€£