Bwanabwanaaa jana ile mchana si nkajifanya kucheki boli la saa 7 kwa simu na tu mb twangu twa kubip??!!! Hata mpira hatukuumaliza tu Mb twote kwishaaaa 🤣🤣🤣🤣😁!! Huku kwenyewe bushiiii vocha hadi muagize mjini huko kwenye duka chair wa kitongoji!! 🤔🤔!! Leo Jioni ndio nikasafiri kufata vocha nahuduma zinazofanana nahizo!!