Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 27,494 Reaction score 55,144 Nov 24, 2022 #290,441 Tinsley said: I'm okay vipi wewe maisha yanasemaje Click to expand... Kwa kweli ... Tuseme kikubwa uzima🤒🤒🤒 uswazi kuna mpya hukoo🥱🥱🥱
Tinsley said: I'm okay vipi wewe maisha yanasemaje Click to expand... Kwa kweli ... Tuseme kikubwa uzima🤒🤒🤒 uswazi kuna mpya hukoo🥱🥱🥱
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Nov 24, 2022 #290,442 Chakorii said: Kwahiyo mnatukomesha sio Click to expand... Wala sio kukomeshana ndio uhalisia wa mambo. Wote tunateseka
Chakorii said: Kwahiyo mnatukomesha sio Click to expand... Wala sio kukomeshana ndio uhalisia wa mambo. Wote tunateseka
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Nov 24, 2022 #290,443 Chakorii said: Nilikuwa nikiisubiri hii comment kama chafya Pep fanya chap lengo langu limetimia 🥰🥰🥰 Click to expand... Huyo Wige msimtaje kabisa yaani Hebu msije nichania Mkeka wangu Mimi Kwa Baba Mtumishi 🤣🤣🤣🤣🤣. Atatokea baadaye,Salamu zako zimefika.
Chakorii said: Nilikuwa nikiisubiri hii comment kama chafya Pep fanya chap lengo langu limetimia 🥰🥰🥰 Click to expand... Huyo Wige msimtaje kabisa yaani Hebu msije nichania Mkeka wangu Mimi Kwa Baba Mtumishi 🤣🤣🤣🤣🤣. Atatokea baadaye,Salamu zako zimefika.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Nov 24, 2022 #290,444 mzabzab said: Aga nyie mnaopenda tall dark and handsome mnatufanya sie andunje andunje tuone hatuwezi pata pisi kali Click to expand... Tuone picha yako
mzabzab said: Aga nyie mnaopenda tall dark and handsome mnatufanya sie andunje andunje tuone hatuwezi pata pisi kali Click to expand... Tuone picha yako
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Nov 24, 2022 #290,445 mzabzab said: Usifange hivyo bwana nyie flats reen mna watu wenu special kabisa....wee nenda sehemu wanazokaa wazungu utaopoa kibabu chenge hela zake🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Hao wazungu wanapatikana wapi jamani maana hata kingereza Sijui 🥹
mzabzab said: Usifange hivyo bwana nyie flats reen mna watu wenu special kabisa....wee nenda sehemu wanazokaa wazungu utaopoa kibabu chenge hela zake🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Hao wazungu wanapatikana wapi jamani maana hata kingereza Sijui 🥹
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Nov 24, 2022 #290,446 Poor Brain said: Kwa kweli ... Tuseme kikubwa uzima🤒🤒🤒 uswazi kuna mpya hukoo🥱🥱🥱 Click to expand... Hakuna jipya huku
Poor Brain said: Kwa kweli ... Tuseme kikubwa uzima🤒🤒🤒 uswazi kuna mpya hukoo🥱🥱🥱 Click to expand... Hakuna jipya huku
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 27,494 Reaction score 55,144 Nov 24, 2022 #290,447 Tinsley said: Hakuna jipya huku Click to expand... Umeme upo ...🤒🤒🤒 Maji je....??
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Nov 24, 2022 #290,448 Saint Anne said: Tuone picha yako Click to expand... Ili mnicheke🤣🤣🤣🤣
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Nov 24, 2022 #290,449 Poor Brain said: Umeme upo ...🤒🤒🤒 Maji je....?? Click to expand... Maji yapo umeme muda wote unakatika
Poor Brain said: Umeme upo ...🤒🤒🤒 Maji je....?? Click to expand... Maji yapo umeme muda wote unakatika
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Nov 24, 2022 #290,450 Saint Anne said: Huyo Wige msimtaje kabisa yaani Hebu msije nichania Mkeka wangu Mimi Kwa Baba Mtumishi 🤣🤣🤣🤣🤣. Atatokea baadaye,Salamu zako zimefika. Click to expand... Please aje azijibu hapa. Sio Wige hatajwi yeyote biharusi wetu
Saint Anne said: Huyo Wige msimtaje kabisa yaani Hebu msije nichania Mkeka wangu Mimi Kwa Baba Mtumishi 🤣🤣🤣🤣🤣. Atatokea baadaye,Salamu zako zimefika. Click to expand... Please aje azijibu hapa. Sio Wige hatajwi yeyote biharusi wetu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Nov 24, 2022 #290,451 mzabzab said: Ili mnicheke🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Hapana Mimi flat screen natoa wapi nguvu ya kucheka? Si ntamaliza kascreen kote sasa
mzabzab said: Ili mnicheke🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Hapana Mimi flat screen natoa wapi nguvu ya kucheka? Si ntamaliza kascreen kote sasa
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Nov 24, 2022 #290,452 mzabzab said: Wala sio kukomeshana ndio uhalisia wa mambo. Wote tunateseka Click to expand... Ni huzuni sana
mzabzab said: Wala sio kukomeshana ndio uhalisia wa mambo. Wote tunateseka Click to expand... Ni huzuni sana
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 27,494 Reaction score 55,144 Nov 24, 2022 #290,453 Tinsley said: Maji yapo umeme muda wote unakatika Click to expand... Oooh jiandae uje ushuani huku.... 🥱🥱🥱🤓🤓🤓
Tinsley said: Maji yapo umeme muda wote unakatika Click to expand... Oooh jiandae uje ushuani huku.... 🥱🥱🥱🤓🤓🤓
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Nov 24, 2022 #290,454 Chakorii said: Please aje azijibu hapa. Sio Wige hatajwi yeyote biharusi wetu Click to expand... Kuna kasumba iliibuka humu wakajidai wanampigania Wige Niliwabadilishia upepo hawakuamini
Chakorii said: Please aje azijibu hapa. Sio Wige hatajwi yeyote biharusi wetu Click to expand... Kuna kasumba iliibuka humu wakajidai wanampigania Wige Niliwabadilishia upepo hawakuamini
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,175 Reaction score 56,203 Nov 24, 2022 #290,455 Poor Brain said: Mood ya leo ni ipi..🤒🤒🤒🤒 Click to expand... 😅😅😅😅 Leo nimehamukia kahawa naona GPS haisomi
Poor Brain said: Mood ya leo ni ipi..🤒🤒🤒🤒 Click to expand... 😅😅😅😅 Leo nimehamukia kahawa naona GPS haisomi
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Nov 24, 2022 #290,456 Poor Brain said: Oooh jiandae uje ushuani huku.... 🥱🥱🥱🤓🤓🤓 Click to expand... Huko haukatiki eeh
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Nov 24, 2022 #290,457 Chakorii said: Hao wazungu wanapatikana wapi jamani maana hata kingereza Sijui 🥹 Click to expand... Ni huzuni 🤣🤣😃 Ngoja Jack Palladino awalete wadhungu
Chakorii said: Hao wazungu wanapatikana wapi jamani maana hata kingereza Sijui 🥹 Click to expand... Ni huzuni 🤣🤣😃 Ngoja Jack Palladino awalete wadhungu
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Nov 24, 2022 #290,458 Saint Anne said: Kuna kasumba iliibuka humu wakajidai wanampigania Wige Niliwabadilishia upepo hawakuamini Click to expand... Mbona hukuniita aise.wa lit aka kuniharibia juhudi zangu..hapana kwakweli
Saint Anne said: Kuna kasumba iliibuka humu wakajidai wanampigania Wige Niliwabadilishia upepo hawakuamini Click to expand... Mbona hukuniita aise.wa lit aka kuniharibia juhudi zangu..hapana kwakweli
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,175 Reaction score 56,203 Nov 24, 2022 #290,459 Chakorii said: Nyie mnaopenda mijitu mikubwa mikubwa mizuri mitako,miguu ya bia…mnatufanya sisi vimbau mbau dunia tuione chungu🥹🥹 Click to expand... Haya kimbaumbau 😅😅😅 kama nakuona vile
Chakorii said: Nyie mnaopenda mijitu mikubwa mikubwa mizuri mitako,miguu ya bia…mnatufanya sisi vimbau mbau dunia tuione chungu🥹🥹 Click to expand... Haya kimbaumbau 😅😅😅 kama nakuona vile
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Nov 24, 2022 #290,460 Chakorii said: Mbona hukuniita aise.wa lit aka kuniharibia juhudi zangu..hapana kwakweli Click to expand... Hao akina Mahondaw wote Akina Tinsley akina Poker Na Pilot wetu msomi wote walijidai ni akina Baba majeshi wa Wige. Uzuri wote nawamudu.
Chakorii said: Mbona hukuniita aise.wa lit aka kuniharibia juhudi zangu..hapana kwakweli Click to expand... Hao akina Mahondaw wote Akina Tinsley akina Poker Na Pilot wetu msomi wote walijidai ni akina Baba majeshi wa Wige. Uzuri wote nawamudu.