Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,407
- 54,858
😋😋😋😋😋 Where is saltKaribuni 🥭
View attachment 2424972
😋😋😋😋😋 Where is saltKaribuni 🥭
View attachment 2424972
Itakuwa yupo busy leoJr anamsumbua
😋😋😋Karibuni 🥭
View attachment 2424972
Leo ana mambo mengi... Ila sasa hivi atakujaItakuwa yupo busy leo
hakika MkuuLeo ana mambo mengi... Ila sasa hivi atakuja
Na kwani Nimesema niko na kibendi 🤣🤣😋😋😋😋😋 Where is salt
Kheeee na wakiume je wanaokula na chumvi🤣🤣🤣🤣🤣 na unayo ww uwezi jistukia hvooo khaNa kwani Nimesema niko na kibendi 🤣🤣
Santo sana mamaa Nafuatilia kwa umakiniii sana Nipo hapaa macho kodooo!! Naona Morocco wamekomaa kinoma!!
Macho kodo.... Upepesi hapo🤣🤣🤣 ngap ngapSanto sana mamaa Nafuatilia kwa umakiniii sana Nipo hapaa macho kodooo!! Naona Morocco wamekomaa kinoma!!
Nimefikaaaa! Marahabaaaaa!!!Ukuje huku....
Yani sipepesi hata kopee!! umechelewa kuniuliza japo nahisi Bila bila!!Macho kodo.... Upepesi hapo🤣🤣🤣 ngap ngap
Nimemmisi mrs yukwapiiiii??? 😉😉😁Macho kodo.... Upepesi hapo🤣🤣🤣 ngap ngap
T amebeti na me.. sasa hapo alichobetia yeye kinajulikan ila me bado sijajua,,,,🤣🤣🤣🤣🤝🤝Nimefikaaaa! Marahabaaaaa!!!
Enhee Natakiwa kutetea nini vilee hebu nihonge mapema!!
Anakuja... 😋😋 Au nikuitieNimemmisi mrs yukwapiiiii??? 😉😉😁
Mtawezana?😊Walete wadhungu
Ukiniitia itapendeza zaidi mr T!Anakuja... 😋😋 Au nikuitie
🤣🤣🤣🤣Uko na kichwa mbaya sana🤣🤣Kheeee na wakiume je wanaokula na chumvi🤣🤣🤣🤣🤣 na unayo ww uwezi jistukia hvooo kha
🤣🤣🤣🤣🤣 Dalili tunaona🤣🤣🤣🤣Uko na kichwa mbaya sana🤣🤣
Mimi huyu huyu..
Mayai nakulia nayo chipsi zege 😆😆
Mlibet nini?? Wee si janja janja sana wewee!! T hanaga uswahiliiiiiii kabisa!T amebeti na me.. sasa hapo alichobetia yeye kinajulikan ila me bado sijajua,,,,🤣🤣🤣🤣🤝🤝
Skia sasa.. anasema timu yake itafika final... Na kasema lips zake halali yangu mee...🤣🤣🤝🤝🤝🤝 Ushaanza elewa hapo au ndo ukilaza ujakuisha🤣🤣Mlibet nini?? Wee si janja janja sana wewee!! T hanaga uswahiliiiiiii kabisa!