Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,050
Umependeza sana!! Umenougaaa!!Hiyo nimephotoa now. Atayeniona jmn asinishitueee[emoji1][emoji1]
Umependeza sana!! Umenougaaa!!Hiyo nimephotoa now. Atayeniona jmn asinishitueee[emoji1][emoji1]
Nimeona dear mimeona!! Uko so hooooooootttttt 🔥🔥!!Teyari kipenzi. Angalia chap chap. Kabla sijafutaa
Thantee dear[emoji8]Umependeza sana!! Umenougaaa!!
ClassAntonnia Saint Anne Sina deni Tena Mimi. Samahanini sana niliwawekesha Ile siku. Mambo yalikuwa mengi.View attachment 2424762View attachment 2424774
ThanksClass
Asante mama juniaAuntie unajua kutupia pamba kali [emoji91]
Thank youBeautiful lady
Asante dearNimependa hizo lips [emoji8]
😂😂Nani huyoShavuuuu dodoo lipssssss lipss!!👌👌👌😍!! Akija lazima urudie!!!!
Umependeza madamee
Ukifuta coca akija!!!😂😂Nani huyo
Hapo kwenye mlenda sijui kama utaweza 😃Kitu ambacho nita shindwa kutumia fork & knife basi ni mlenda😀😀na wenyewe ninauhesabia siku tu ninaweza kupita nao usiamini 😆😆
Mimi nitatumia mkasi 😀😀na siku nikilifanikisha nitatuma video clip humu ndani Kwa ajili yako uone nitakavyopambana😝Hapo kwenye mlenda sijui kama utaweza 😃
Kuna rafiki yangu mmoja Mzungu nilimfundisha kula Ugali na Mlenda, Sasa Ile kwenye kuvutika si akaomba Kisu awe anakatia 😂🙌.
Na imagine utakavyokuwa unafanya wewe pia 😀
Ukuje huku....Na pacha wako Tinsley Naomba mnipe samare kwanzaa nasikia natakiwa kutetea mtu hapo!!
Samaleko wapendwa!!
Jr anamsumbua