Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Attachments

  • Screenshot_20221120-211050.jpg
    Screenshot_20221120-211050.jpg
    134.3 KB · Views: 5
hahaha hapana chezea adrenaline
nashtuka huyo , nitakimbia chap chap
🤣🤣🤣🤣👆👆👆 Baadae unajiuliza pale nilitokajee....?? Na pia hyo adrenallin naskia inaweza ikafanya ukae yaan uishiwe nguvu kabisa🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣👆👆👆 Baadae unajiuliza pale nilitokajee....?? Na pia hyo adrenallin naskia inaweza ikafanya ukae yaan uishiwe nguvu kabisa🤣🤣🤣🤣
Hahha inawezekana
Ila kwangu nilivyoina ipo active hiyo ..
nisikutwe na kitu .
 
Baba yupi tena jamani..

Wow..I see mahaba ndindindi kwakweli.
Kuna sehemu nimeona mwandiko wako Umekaa vibaya nusu nikutie makonzi ya utosi 😝😜
😂😂😂😂
Maandishi mengine yooote hayana tatizo.
Kikubwa yasiwe ya ugomvi tu..
Huo amefanikiwa,nimeacha.


Kwani umempiga chini Baba wa watu?
 
Back
Top Bottom