Selfika na JF: Snap it. Show it

Kitabu kizuri
nilikuwa nawaonea huruma Wakina Atwoki as if ni kweli πŸ˜‚πŸ˜‚
Yeahhh kina uhalisia sana! title unamezaa kama ilivoo We have to to good things/ to invest/ to work hard while we live in order leave good memories that will make us be remembered for kwa uzuriii wen we are gone na si kupita kama kivuli tu ambacho kina disappear wen the sun is gone!😁😁
 
Ooh yeah
ni kitabu kizuri sana
kinatufundisha mambo ya msingi toka tupo wadogo. .ukikumbuka themes tu umemaliza .
 
Sina hamu na banda umiza aisee
niliangalia mechi ya Simba na Yanga aisee kwanza watu wamejaa wengine sijui wanavuta bhangi. ...

nilikosa hewa aisee .. ikabidi na mechi niache kuangalia nirudi gheto.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Mbona una bahati sana wewe an gemu la simba na yanga kibanda umiza ukitoka salama weeeh
 
Weeeh an naona wamekuleta uwanja wa nyumbani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…