Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Unataka bia?utafanya nirudi hata kesho πLini unarudi?
Nataka bia
Pole dearHapa Nipoooo kodoo kipenziiiii..... Hapa nimebandika mbogaa Naomba iive dakika sifuri tu!!
Ona zilivokatika dear
Hujambo jiraniKumekucha Salama humuu?? Habare za weekend wapendwa??
Safiiii jirani..Asantee mamy Hapa Nipoooo kodoo ... Hapa nimebandika mbogaa Naomba iive dakika sifuri tu!!
Ona zilivokatika dear
Nimeonaaaa ila hawajacheza kujiachia sanaaa sijui ndio maadili yahuko Qatar kha!!Pole dear
naona aisee , zifanyie steaming kidogo , zitakuwa sawa .
Mimi nipo njiani hope nitawahi ..nishaikosa opening ceremony
Za kutususa jiraniiiii...!! Samalekoooo βSafiiii jirani..
Ni mwandiko tu jamaniNaona tuu π€£π€£π€£π€£. Ww injoi tuu hapo.
Au nialike basiπ₯²π₯²
Itakuwa maadili huko nasikia hawataki hata pombe na kitimoto uwanjani .Nimeonaaaa ila hawajacheza kujiachia sanaaa sijui ndio maadili yahuko Qatar kha!!
Steaming nimetoka kuzifanyia 2 weeks ago halafu hizo ni natural sijaweka dawa mimii!! ona hapa ilikua dec last year kiukweli zimerudi nyumaa sanaaa!!
Sijambo kabisa jirani selfika tumekumisss!!Hujambo jirani
Nitakuandika mchumba usijaliπDah hapana
Hio ndio ikoje??Itakuwa maadili huko nasikia hawataki hata pombe na kitimoto uwanjani .
okay jaribu kufanya Ile deep conditioning labda itasaidia kidogo
Ooh jamani zilikuwa nzuri sana tena natural , basi usikate tamaa
π€£π€£π€£π€£ Kukaa buku kusimama sh ngapi?naingiza Giza maana huko si wapajua kupata seat tu mtihani.
bado na foleni ya jioni hii
Hiyo mitishamba khaaa... An wewe hupoi duuhππππMnoooo!! Saivii ameoga kawaida akienda kulala anaoga mitishamba ππππ!!
ni kurepair nywele zilizokatika haina tofuati sana na steamingHio ndio ikoje??
Naonaa kwahio vya wachezaji kujiachiaaa hakuna?? Mbona wanaloo!! Hapo lazima wabehave!!