Okay unataka kujua kwanini?? Ni kwa sababu wanawake tunapenda kweli ndiyo maana tukijua kuwa tunashare tunaumia ila ninyi hampendi kweli ndiyo maana mkijua kuwa mnashare hamuumii!!
Kama ulivyosema hapo kwamba kwa mke itakuwa ni vita ya tatu ya dunia ni kwa sababu huyo mke unakuwa umempenda,, hata sisi wanawake tusipopenda na tukajua kuwa tunashare wala hatuhangaiki..