Ziro brain is utumie Id yako Kongwe lakini!! Utaselfika sa ngapi vilee??π kwako Poor BrainKitaa cha wapi hicho... Then tukuambie ni uswahilini au ni ushuani...
Yeahhh...Ya kesho ni saa ngapi kwani sitaki kupitwaa!yes dear
Tena uzuri ni weekend kesho
Huko ndo nyumbaniKitaa cha wapi hicho... Then tukuambie ni uswahilini au ni ushuani...
Kabla ajasinzia.. itabidi nimsomee hadithi..ππBado... Anamalizia kula akimaliza tu hapaa atasinzia muda si mrefu!!
π€£π€£π€£ Wapi wewe... Alafu si wa uswahilini tusemeje...Huko ndo nyumbani
niaamini mimi π
Yeahhh...Ya kesho ni saa ngapi kwani sitaki kupitwaa!
Kha , Gomz ndo nimezaliwaπ€£π€£π€£ Wapi wewe... Alafu si wa uswahilini tusemeje...
Kabisa atafurahi mnooooooo! Kesho akitaka kulala hatalala hadi asikize hadithi tena!!Kabla ajasinzia.. itabidi nimsomee hadithi..ππ
Aaaaaaahh ila sioo sanaaa uswahilini..ππππKha , Gomz ndo nimezaliwa
Ndo uswahilini lakini π.Aaaaaaahh ila sioo sanaaa uswahilini..ππππ
Wabheja sana!! kesho mapemaaaa nishaivishaa!!Saa moja dear ndo inaanza hiyo
Kipaji hicho ninacho hvyo hapa tuu.. atafurahi kuanzia leo tarehe 19/2022 bureeeπ€£π€£ππ€π€Kabisa atafurahi mnooooooo! Kesho akitaka kulala hatalala hadi asikize hadithi tena!!
ππWabheja sana!! kesho mapemaaaa nishaivishaa!!
Yaaah rout itakua hivi... Kisewe-msongora-mvuti-chanika-gomz chap kwaaa... πππππNdo uswahilini lakini π.
karibu .
βΊοΈβΊοΈβΊοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈKabisa atafurahi mnooooooo! Kesho akitaka kulala hatalala hadi asikize hadithi tena!!
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee πππππ!!Kipaji hicho ninacho hvyo hapa tuu.. atafurahi kuanzia leo tarehe 19/2022 bureeeπ€£π€£ππ€π€
Kumbe Poor brain niwewe mjomba!!π€π€πππ!βΊοΈβΊοΈβΊοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ
Ewaaah umepatia kabisaYaaah rout itakua hivi... Kisewe-msongora-mvuti-chanika-gomz chap kwaaa... πππππ
We kweli wa uswazi aiseeeee... Yaan hapa karoho safiii... π€π€π€ Sasa nakuletea bidhaa za uswazi πππEwaaah umepatia kabisa
mji mdogo huu .
unazunguka tu sehemu
pia Kuna mbagala , fremu kumi-kivule - banana - Gomz
Nafurahi pia kuona wewe na junior mna furaha... π€£π€£π€£ Ukiacha hadithi kuna kingine cha kuongezea hapo..?Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee πππππ!!
Wabheja sana mkuu will be so happy!!!