Hahhaa noma aiseeNdo mtaelewa Tanesco walivyo na sifa mbona mtafurahi... Mtasikia tuu kwa wenzenu .....π€£π€£π€£
Nafurahi kusikia hivoπ€£π€£π€£π€π€,,, me skumbuki huku umeme ulikata lini..?Hahhaa noma aisee
mgao siku hizi unaanza saa moja kamili .
Unaishi Masaki nini ?Nafurahi kusikia hivoπ€£π€£π€£π€π€,,, me skumbuki huku umeme ulikata lini..?
Mbande_kisewe.. unapajua au ushawahi pasikia..ππUnaishi Masaki nini ?
maana hadi huko Mbweni kwa wakishua wanakata.
Poapoa... Here waiting mkuu usiniangushe!!βοΈβοΈβοΈπ€π€π€ Bhado sa hivi wapo ka wote subiri mida ile...
Mda huu na upo huku...π€£π€£π€£ Usiunguze tuu hukoπPoapoa... Here waiting mkuu usiniangushe!!βοΈβοΈβοΈ
Lol kumbe!! Sante sana kipenzi tumesubiria kwa hamu kubwaaa!!ππkesho my dear
tupo hapa tunasubiria kwa hamu
japo na huu mgao sijui
ooh napasikiaMbande_kisewe.. unapajua au ushawahi pasikia..ππ
Huku hakuna mamb hayo,,, yapo huko mjini....π€£π€£ooh napasikia
yeah dearLol kumbe!! Sante sana kipenzi tumesubiria kwa hamu kubwaaa!!ππ
huko pazuri basiHuku hakuna mamb hayo,,, yapo huko mjini....π€£π€£
Hapana bado... Afu upo chap chap an si ulitoka sasa hivi tuu hukuπ€Ndiooo Nimemaliza kupika saiviii!! Vipi Unataka unibless saivi? Tinsley dear miss you sana leoooooππππ
Italy!! Wewe je??? Sema zinachocheza kwa siku ntakua nachagua hapohapooo!!yeah dear
tufurahi sasa mpira unaanza
wewe ni team gani ?
Dah hapo kwenye beiπ€π€.. ila pazuri. Your welcome π€huko pazuri basi
nasikia hata Kodi bei nzuri .
Nishamaliza kweli..!!! Hapa naenda kumwogesha Junia na dawaaa mitishamba ya mafundo fundo ndio nimeichemsha hapaa πππ€£π€£!!Hapana bado... Afu upo chap chap an si ulitoka sasa hivi tuu hukuπ€
Team Argentina mieItaly!! Wewe je??? Sema zinachocheza kwa siku ntakua nachagua hapohapooo!!
Ahahahhhahah π€£π€£ dah kwa sauti kabisa nimecheka..... Ile mada ya mshana kule inakuhusu...Nishamaliza kweli..!!! Hapa naenda kumwogesha Junia na dawaaa mitishamba ya mafundo fundo ndio nimeichemsha hapaa πππ€£π€£!!
AsanteDah hapo kwenye beiπ€π€.. ila pazuri. Your welcome π€