Selfika na JF: Snap it. Show it

Siachi kuusikilizaaaaa hata iwejeeee! Mie sisikilizi ujumbe wake hata naupenda tu !!
Kilaza kwenye ubora wakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ubora wa kupendwa, kupenda na kupapatukiwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ₯²
 
Yanii mie kilaza typically!!
Na ukilaza wako ila si kuna watu wanapenda na wanakupapatukiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Na ukilaza wako ila si kuna watu wanapenda na wanakupapatukiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Kupapatukia maana yake nini???? Sijui kama napendwa Kwani siwezi usemea moyo wa mtu kiza kinene
 
Mu Mama, au Mu shangazi au Mu pisi kali kabisa zilizo posta za Jf, zijongee hapa Holiday Inn zinywe Savana kiroho safi mie sina makuu

C.c Darlin
mzabzab nifanyie mupango mushangazi waje hapa wale savana
Aahhh sa mbona me niko mbali hivi jaman
Savanna zimenipita hivi hivi naziona
Au nikuitie kadogo changu cha ARU hapo kakuchangamshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…