Hata uroge kwa kuchutama mi na Tinsley mpaka qiyama hatuachani. Mtoto amenidhibiti yaani ni somo kungwi fundi wa mapenzi haswa. Sauti yake nyororo tuu inatosha kunipelekesha mputa mputa. Na utanuna mpaka upasuke πUmejimalizaa sanaaaaaaa yaan saaanaaaa ππππππππππππππ ngoja kitumbua tuweke mchanga π€π€π€π€π€π€π€π€
AminMashallah hakika Mungu kanipa nilichomuomba! Raha sana kuwa na mtu wa kukufariji ya rabbi anipe utulivu wa moyo!
Oky unajua now yupo wapi na anafanya niniππππππ utakufa preshaa wewe.. unazama mazima kwa miguu miwili eeeeh πππ utajua ujui sasa kiufupi umepigwa na ile inaitwa ndoige πππ€£π€π€π€π€Hata uroge kwa kuchutama mi na Tinsley mpaka qiyama hatuachani. Mtoto amenidhibiti yaani ni somo kungwi fundi wa mapenzi haswa. Sauti yake nyororo tuu inatosha kunipelekesha mputa mputa. Na utanuna mpaka upasuke π
Nimenasiana yaani kuchomoka sichomoki. Pole sana hata useme nini ndio kwanza twazidi kupendana na kujaliana. Maana najiamini niko peke yangu ndio maana natamba. Angalia usife kwa presha na kijiba cha roho Poor Brain π§Oky unajua now yupo wapi na anafanya niniππππππ utakufa preshaa wewe.. unazama mazima kwa miguu miwili eeeeh πππ utajua ujui sasa kiufupi umepigwa na ile inaitwa ndoige πππ€£π€π€π€π€
Yaah naamini kuna kipindi ndoto tunazoota huwenda zikawa true... Nimependa ndoto yako.. goodπ€£π€£ππ ngoja tukuoneshe kuwa bado unaota wewe...Nimenasiana yaani kuchomoka sichomoki. Pole sana hata useme nini ndio kwanza twazidi kupendana na kujaliana. Maana najiamini niko peke yangu ndio maana natamba. Angalia usife kwa presha na kijiba cha roho Poor Brain π§
Kunywa majiKesho
Utaona status
Manywele nyoko nyoko
Nani kama utopolo
Wapuuzi sana
The way nilivyo kusubiri dah ndo mida yako hiiπππ€Kunywa maji
Nasinzia hapa najikazana tuThe way nilivyo kusubiri dah ndo mida yako hii[emoji23][emoji23][emoji1666]
Leo shida nini mbona mapma hvoo...?π₯²π₯²π₯²Nasinzia hapa najikazana tu
Umelala... ...??Bwana akamwambia Yeremia
Nenda nyumbani kwa mfinyanzi
Utamwona mfinyanzi anavyofinyanga chombo
Kilichoharibika anakifinyanga tena
Anakifinyanga tena jinsi apendavyo yeye
Ndivyo ulivyo Wewe ni mfinyanzi
Kilichoharibika unakifinyanga tena
Unakifinyanga tena, unakifinyanga tena
Jinsi upendavyo Wewe
Shukran Mtumishi kwa ujumbeBwana akamwambia Yeremia
Nenda nyumbani kwa mfinyanzi
Utamwona mfinyanzi anavyofinyanga chombo
Kilichoharibika anakifinyanga tena
Anakifinyanga tena jinsi apendavyo yeye
Ndivyo ulivyo Wewe ni mfinyanzi
Kilichoharibika unakifinyanga tena
Unakifinyanga tena, unakifinyanga tena
Jinsi upendavyo Wewe
HapanaUmelala... ...??
AmenShukran Mtumishi kwa ujumbe
Muite jamaaa akoHapana
umpende Yolly na wewe