Carrasco putin alikuwa anakesha humu ndani na kuomba omba vocha ila kwanzia ampate Tinsley yupo kimyaaMtu anapotezwaaa mazimaaa, π π π na ID anabadiki JF anaingia kwa ratiba tena chini ya uangalizi
Ila zawadi ni zawadi dogo π€£Eti mtu anakuja na itel, nkamuambia kampe bibi yako kijijin huko.
Nataka NOKIA.
π€£π€£π€£ππππππ kingunge ngombale πππ€£ππππCarrasco putin alikuwa anakesha humu ndani na kuomba omba vocha ila kwanzia ampate Tinsley yupo kimyaa
Kuna penzi la Wigelekelo na Saint Anne nalenyewe naona saivi wige kapigwa beria kuingia humu.
Alafu kuna hili sasa kingunge ngombale mwiru cocastic na Mjep ndio shida yenyewe. Uncle mjep kalowekewa nguo kavalishwa kanga watu wanakazi ya kumkuna tu mpaka mtaji wote umekata saivi huenda anafikiria kujiua na asipojiua basi akirudi lazima aanzishe thread! π
Ndio kilichobaki π€£π€£π€£Kwani tuliambiwaje wadada wa huu uzi? Acha tuendelee kukuza brand ya njaa π€£
πππππππDadekiiiiiiNdio kilichobaki π€£π€£π€£
Na hatuachii, akitaka aje atudunde tuko hapa
Mr vocha chama kubwaaaaa yule hafilisiki kizembe hivooo!!!! Atakua kaamua tu kupumzika kuchat ila anaingia nakuona koments vizuree tyuuu!!Carrasco putin alikuwa anakesha humu ndani na kuomba omba vocha ila kwanzia ampate Tinsley yupo kimyaa
Kuna penzi la Wigelekelo na Saint Anne nalenyewe naona saivi wige kapigwa beria kuingia humu.
Alafu kuna hili sasa kingunge ngombale mwiru cocastic na Mjep ndio shida yenyewe. Uncle mjep kalowekewa nguo kavalishwa kanga watu wanakazi ya kumkuna tu mpaka mtaji wote umekata saivi huenda anafikiria kujiua na asipojiua basi akirudi lazima aanzishe thread! π
Nitakuchakaza maana nina ugumu wa miezi kibao.. Zoezi hiloMie huyu huyu? Au yupi?
Unajua kufungiwa na nguo? Mkunyenge unalala na kuamkia ndani? Heheheheeee
Waleteeeeeeee,
π€£π€£π€£πππππππDadekiiiiii
Moto utawakaaaa π π πHizo akili zikikutana π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!!
Tunasubiri na wewe upatwe na mtu humu, maana naona una nyemelewa nyemelewa upo kwenye hit list π π πCarrasco putin alikuwa anakesha humu ndani na kuomba omba vocha ila kwanzia ampate Tinsley yupo kimyaa
Kuna penzi la Wigelekelo na Saint Anne nalenyewe naona saivi wige kapigwa beria kuingia humu.
Alafu kuna hili sasa kingunge ngombale mwiru cocastic na Mjep ndio shida yenyewe. Uncle mjep kalowekewa nguo kavalishwa kanga watu wanakazi ya kumkuna tu mpaka mtaji wote umekata saivi huenda anafikiria kujiua na asipojiua basi akirudi lazima aanzishe thread! π
Yaani na mie vocha za kukwangua sijazoea yaani ungeniona nilivyokua nahangaika ipi ni ipi ungenionea huruma na kunitumia vocha za voda pmππ
ππ ndioNdio kilichobaki π€£π€£π€£
Na hatuachii, akitaka aje atudunde tuko hapa
Umeona tizi hilo π€£π€£π€£weuweeeeeeh
Hata kuona vizuri mbele hatuoniππ ndio
Na hizi njaa? Atatukutaje tumelegea
π π π π Badae naanza zoezi la kuirukia kutoka anganiTizi jepesi bhana,
Ongeza ongeza.
Najua umepata shida ila usijali siku ingine tunaweka zile za copy n paste najua wenye iphone lazima waanze kulia na wa viswaswadu πYaani na mie vocha za kukwangua sijazoea yaani ungeniona nilivyokua nahangaika ipi ni ipi ungenionea huruma na kunitumia vocha za voda pmππ
Wee nimekusubiria mpaka basi.japo zahivo kweli ningekosa tuπ€£π€£!!
Ile nakuwa kama nashuka na mwamvuli, ila naizamia chini kabisa alafu naibuka kama sioni vile π€£π€£π€£kumekuchaaaaaa.
Bora hizo atleast inakua rahisi, tutashukuru sanaNajua umepata shida ila usijali siku ingine tunaweka zile za copy n paste najua wenye iphone lazima waanze kulia na wa viswaswadu π