Njoo kuleEm selfika kwanza mubaba wewe
Sikuhiz kutumia dawa ni ushamba
Yeah zinafanya kazi..ila zikiisha utajua hujuiππ
Pesa ndogo tu inatosha kuleta furaha ili mradi mtimize mahitaji muhimu Mkuu .Naneee kasema kunakuwa na furaha na amani mahala pasipo na hela πππ thobotooo.. Pesa ni jawabu la mambo yote
Sikuhiz kutumia dawa ni ushamba
Chuntamaaaaaa
Acha nikajaribu kupeleka list yangu maana haiwezekani ninyanyasike wakati kuna plan F π πYeah zinafanya kazi..ila zikiisha utajua hujuiππ
ππππKwakweliNiko kwenye utalii wa ndani π€£π€£
Yakikukuta mambo at your own risk brazaπAcha nikajaribu kupeleka list yangu maana haiwezekani ninyanyasike wakati kuna plan F π π
πππ Mnanitisha tena, nitaishije sasa bila mpenzi na mie, hata njiwa ana bebi wake dahYakikukuta mambo at your own risk brazaπ
Okra is so sweet!!?Ukweli na usemwe
Okra is always sweet
Ukipikia kwenye dagaa au mlenda
Hela unazo? Au unataka mpenzi umpaushe mtoto wa watuπππ Mnanitisha tena, nitaishije sasa bila mpenzi na mie, hata njiwa ana bebi wake dah
Siku ukinikaribisha kwako nitakuja nayo nikupe.Naomba hiyo pensi, hainitoshi?