CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Piganeni[emoji23]Yaan watu hawatulii kabisa na mambo yao kutwaaa kuyatindikanya ya wengine,
Nakaa kimya tyuuh siku nikitibuka ntamvagaa mtu na hataamini.
Nshachokaaaa.
Watu hawachat kumbe wanaweka vocha [emoji16][emoji16]Depal hata kunistua jamani nashangaa mbona watu kimyaaa kumbe[emoji1787]poka keshatupia mzigo nyieee[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]!!
Chagua moja nipazibe au nimuoteshe busha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaaaaa.
Nakwambia nimeshtuka kuona likes za poker kuja kuangalia notifications nikaclik aliyoreply naona posted 3 mins ago usshunguuuuuuπ€£π€£ππ!!Watu hawachat kumbe wanaweka vocha [emoji16][emoji16]
Unaweza kuruka judo mchumba au tupige tizi kwanza[emoji23]Ntambondaaaa yeye, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Seriously hujapata? π€£π€£ sasa nani kaweka hizo voda nyingineUbarikiwe mnoo Poker Japo sijaambulia kitu!! Nimeona dk 3 zishapita shukrani sana kwa kutubariki!!πβοΈβοΈ
Akojoe dagaa wa ziwa nyasa [emoji41]Muotesheee bushaaaa, liwe linachucha maji kila mda.
Pole, na ulikuwa unazisubiria kwa hamu.Nakwambia nimeshtuka kuona likes za poker kuja kuangalia notifications nikaclik aliyoreply naona posted 3 mins ago usshunguuuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!!
Mwalimu ndo umegoma kabisa kuwa shemeji yangu [emoji849]Nakwambia nimeshtuka kuona likes za poker kuja kuangalia notifications nikaclik aliyoreply naona posted 3 mins ago usshunguuuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!!
Nimejaribu 2 used nikatuliza mshono line isijezuiwa kwa muda bureee!! π€£π€£π€£Kuna ma Silent viewers Kibao humu!!Seriously hujapata? π€£π€£ sasa nani kaweka hizo voda nyingine
π Unaspeed balaa kama umezipata zile vocha zote za tigo.Mtu mwenye namba ake inaishia 6 ππ€£
Nzuri sana hiyo, hata hukupata unashukuru.ussshhhhuuuuunggguu... ila yote kheri selfika ni wamoja ... wabheja sana [emoji120] Poker!!
lol sangapi ?? Unijuze kwanza mie sina mbio jamani!! Barikiwa sana rafiki!!Duh! Watu wako speed sana ila usijali ntakuwekea voda ya 2000 Antonnia upoze machungu!