Ndiiiooooooooooooooooo!! everyone needs βpeace of mind kama mtu hakupi leave him/ her for good kuliko kuwa mtumwa!Akikuletea jeuri nawe unamchana tu au unampotezea.
Madharau hayakubaliki hata kama umepauka hamna kuonyesha unyonge
Ofcoz the truth will set you free!!Ndiyooooo
lazima umchane kwanza , aelewe somo .
Mfate kwaoJamani kuna mtu nimemhamu humu ndaniπ
Kamtafune ππJamani kuna mtu nimemhamu humu ndaniπ
Wivuuuu πππENDELEENI KUJAZANA UPEPO, MKITOKA HAPA KILA MTU ANAENDELEA NA KILIO CHAKE NA MAUMIVU YAKE πππ
Hakika , moyo utapata amaniOfcoz the truth will set you free!!
Nakwambia leo Depal Lenie Tinsley na Antonnia kuanzia sa 12 asubuhi wanatushambulia na kufarijiana kuwa wao ni majeuri na kwamba hatuwababaishi. Mbaya zaidi wanawasifia matolu dark and handsome kwahyo wanaume weupe wamewakosea nini π₯ΊNaangali conv zao, kama wamekata tamaa.. shida hawaanzi jiangalia matatizo waliyo nayo.. wanaanza tafuta makosa ya Me, kwa kuficha udhaifu na makosa yao
Nimuonee nani wivu π«£π«£Wivuuuu πππ
Silagi watuKamtafune ππ
Msimsikilize eti uwalee kama mtoto
πππππ tuwaleee sawa lakini no kuwa mtumwaa
Moyo Wangu ulivo wa kuridhika hata na kidogo sasa utashangaa naroho yako!!!! Afu mahusiano ya kujengwa kwa msingi wa pesa hayanogi kabisa inaonekana mtu amekupendea pesa na si true love!! Mungu atusaidie sana wanawake!!ππΏ on point
kisa pesa mtu akudharau , hiyo hapana .
πMfate kwao
TuwacheeeeeeeeeENDELEENI KUJAZANA UPEPO, MKITOKA HAPA KILA MTU ANAENDELEA NA KILIO CHAKE NA MAUMIVU YAKE πππ
Hao kila mmoja wao ana uchungu na mauvimu yao, wanajazana hapa upepo, ila deep down mioyo yao imejeruhiwa na wakurungwaa π€£π€£π€£ wanapeana matumaini .. si unajua ma loser wakikutana huwa lazima wajazane upepo ili baada ya hapo wakikaa wanaona uharisia maumivu yanaendelea kama kawa
PoleniTuwacheeeeeeeee