Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂😂 ndio maana wanasemaga block X once you breakup
Sema me siwezagi yan kuanzisha uadui
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] genius hatakuwa romantic huyu, anawaza masomo tyuuh, sasa drama zang ataweza?
Chuo mnamaliza soon
Mambo ya masomo yataisha
atakuspoil hadi uombe poo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana wanasemaga block X once you breakup
Sema me siwezagi yan kuanzisha uadui
Najuta kudate na mtu yuleee, sirudii tena kudate na li mtu la hovyo hovyo, sijui nilikwamaa wapiii hata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan halijui kuachika,
 
Wanakutumiaje Tin na ww ulikuwepo wakti wa matumizi [emoji23][emoji23] mlitumiana

Sema binafsi sijawahi kuelewa concept ya jamii kumuona KE as victim kwenye suala la mikazo na dump's[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo km mie wallah. Nashindwa kuelewaaaa.
 
Najuta kudate na mtu yuleee, sirudii tena kudate na li mtu la hovyo hovyo, sijui nilikwamaa wapiii hata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan halijui kuachika,
Ma mtu ya hovyo at first ni ngumu kunotice 😂 unajikuta tu ndio ushatumbukia pasipo


Hujawahi kuachika? 😂 huyo alikuwa anapata ugumu kuachilia
 
Wanakutumiaje Tin na ww ulikuwepo wakti wa matumizi 😂😂 mlitumiana

Sema binafsi sijawahi kuelewa concept ya jamii kumuona KE as victim kwenye suala la mikazo na dump's😂😂😂
Ndio mnaenjoy wote jamani lakini sio fair unaachwaje wakati umenogewa .

Imagine dating na mtu for three years akuache aoe mwingine .. haijanitokea but that shit hurts jamani .
 
Ma mtu ya hovyo at first ni ngumu kunotice [emoji23] unajikuta tu ndio ushatumbukia pasipo


Hujawahi kuachika? [emoji23] huyo alikuwa anapata ugumu kuachilia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kwa yule mtu had huwa najiuliza mie kwa yule nlifuata nn? Nilikosea wapi.

Nli fail kwake vibayaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], baada ya kuachana ndo nkajua n mtu wa hovyo.

Aaaaah wee ilibidi tuachane tyuuh, hakukuwa na namna.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio mnaenjoy wote jamani lakini sio fair unaachwaje wakati umenogewa .

Imagine dating na mtu for three years akuache aoe mwingine .. haijanitokea but that shit hurts jamani .
Sijawahi experience hizo mambo za kuzidi mwaka na nusu…
Kwa hapo sielewi maumivu yake yakoje…


Nasemea zile case za gf na bf, mwagane kwa kushindwana wao kitabia then victim aonekane gf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…