Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3][emoji3] bwana weee hatuna kazi za kufanya, acha tufurahi ya upande mwingine maana lazima tujitoe stress
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]majobless wa jf sio! Msitudanganye bwana, bila pesa hizo classic hotel mnaenda na nini, au kazi ni kubet..mpate aftatu mkalipie chumba[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]majobless wa jf sio! Msitudanganye bwana, bila pesa hizo classic hotel mnaenda na nini, au kazi ni kubet..mpate aftatu mkalipie chumba[emoji1787][emoji1787]
Kazi tuliyonayo ni kubet tu mkuu, siku mkeka ukitick ndio tunajivuta mahala .. kuzitumia zikiisha tunarudi nyumbani kwa mama wa kambo🀣🀣
 
Una mpango wa kuja kunisalimia??πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Poleni kwa msiba πŸ˜”πŸ˜”
πŸ™
Yeah! πŸ™‚hiko kimoja wapo but there's just so much to talk about, na unipeleke kwenu, i would like if you will introduce me unofficially to your parents ujue nataka ku bring this relationship to the next level, πŸ™‚ siwezi kukuchezea Lizzy...
 
Kumbe upo hai
Afadhali.

Zile habari za ajali ziliniumiza zaidi niliposikia marubani wamefariki wakijiona
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Salama Mkuu Post M-alone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…