Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,290
Hatujapoaaaaa!! Sikuhizi unaselfika kwa machale kweli!!😂Poleni nitaselfika Ile mida yetu hata msijali
Haya wacha tusubiri basi!!
Hatujapoaaaaa!! Sikuhizi unaselfika kwa machale kweli!!😂Poleni nitaselfika Ile mida yetu hata msijali
Nataka ya kulalia hapa Shangazi 🙂🙂 si unajua leo hapa mwanza kamvua flani hiviSubiri shangazi usijali
Subir nipite na hta tbtHatujapoaaaaa!! Sikuhizi unaselfika kwa machale kweli!!
Haya wacha tusubiri basi!!
Asavali mdogo wangu mchana wangu Utaenda vizuri Walau!!Subir nipite na hta tbt
So Biurifoooo 😍😍😍!! Wabheja sana dear hapa sasa naeza fundisha vizuuureeee kabisa!! Mtoto jichooo👌👌👌Mje nimekuwa mvivu kuselfika nikiweka picha inaload taratibu sijui ndo uhaba wa bando😂😂😂View attachment 2412263
Utakuwa umepata bwana wa kizungu siyo kwa kupendeza hukuMje nimekuwa mvivu kuselfika nikiweka picha inaload taratibu sijui ndo uhaba wa bandoView attachment 2412263
Uzuri unachoomba kinakuwa kinyume chake![]()




nimejuta sasa huko whatsapp nilibadil mpka jina nikajiita club Africain nimedelete whatsapp sitak ujinga mm 


Biurifooo 😍Mje nimekuwa mvivu kuselfika nikiweka picha inaload taratibu sijui ndo uhaba wa bando😂😂😂View attachment 2412263
Thanks dear 😘Biurifooo 😍
😂Asante dear badae nitapita live😂😂😂So Biurifoooo 😍😍😍!! Wabheja sana dear hapa sasa naeza fundisha vizuuureeee kabisa!! Mtoto jichooo👌👌👌
Nakuaminia Madam hunaga uswahiliiii Kabisaaa...... Santo sana ✌️😂Asante dear badae nitapita live😂😂😂
Watoto wazuri kama hawa wapo simba tu Sema ww binti mrembo jf nzimaSubir niongezeView attachment 2412275
😂😂😂Jamani kuwa single Raha unakunywa maji hata kwenye jagi hakuuliz mtu😂😂😂Utakuwa umepata bwana wa kizungu siyo kwa kupendeza huku
nimejuta sasa huko whatsapp nilibadil mpka jina nikajiita club Africain nimedelete whatsapp sitak ujinga mm
![]()





Unavaa kwa staraaa hadi raha 😘😘! Shekhe Anaeopoa hapo anafauduuu lol!!Subir niongezeView attachment 2412275
Kuna wasiachana wazuri sana humu humu wee mimi camera zinanibeba aisee 😂Watoto wazuri kama hawa wapo simba tu Sema ww binti mrembo jf nzima
Jamani kuwa single Raha unakunywa maji hata kwenye jagi hakuuliz mtu
![]()




Sema ww huwez kuwa single mwanaume yeyote anataman kuwa na ww mrembo wife material kbsa