Hawezi kumpataaaa !!! Shauri yako mjombaπ€£π€£π€£π€£π€£ atamsaka mwenye picha
zinachosha tu , labda nikinyoa mambo yatabadilika.Usinyoe jamaniiiii... yea tuliizoea ile hii tunahisi mgeniiiπππ
Nitamuambia mwenye hizi picha yupo Ulaya huko π€£π€£Hawezi kumpataaaa !!! Shauri yako
Okay naitoaUsinyoe jamaniiiii... yea tuliizoea ile hii tunahisi mgeniiiπππ
Hapana usinyoe dear... japo mi nimeamua soon ntakuwekea nimenyoa hahahaaa... nakua kama kitoto cha form two kilichokomaa suraπ€£π€£π€£zinachosha tu , labda nikinyoa mambo yatabadilika.
Kweli Itoe hio rudisha uloitoa JamaniOkay naitoa
Ulaya ya Nyakibimbiriiππππ€£π€£π€£π€£π€£πNitamuambia mwenye hizi picha yupo Ulaya huko π€£π€£
Zimekatika mnoHapana usinyoe dear... japo mi nimeamua soon ntakuwekea nomenyoa hahahaaa... nakua kama kitoto cha form twoπ€£π€£π€£π€£
Ulivo na kabebi fesi lol!!ππ Mimi nikinyoa hujui ni kizeee ni bintiii ni kutoto yani kukomaa si kukomaaa Binti si binti ππππZimekatika mno
nitasuka baada ya kunyoa , naenda weka curl kit fresh.
Mimi nakuwa na kasura kakitoto .
ngoja tu tukate
Ile ya zamani sinayo TenaKweli Itoe hio rudisha uloitoa Jamani
Jamaniii tulishaizoeajeee doh!Ile ya zamani sinayo Tena
nimeipoteza
πππUlivo na kabebi fesi lol!!ππ
nilisearch picha ya yule mdada Ig, simkumbuki profile yake .Jamaniii tulishaizoeajeee doh!
Ukisuka unapendeza dear au kwakua sijajuona ukinyoa labda!!πππ
ninyoe zangu kistyle flani .
nitajiona wa ajabu , ndo maana nitasuka tu
Watu wananiambia vyote napendezaUkisuka unapendeza dear au kwakua sijajuona ukinyoa labda!!
Hapana usinyoe... una kichwa kizuri Ndiomana pia unapendeza..Watu wananiambia vyote napendeza
japo kusuka unapendeza zaidi .
yeah hujaniona , ngoja ninyoe uone .
kichwa kipana tu yaaniHapana usinyoe... una kichwa kizuri Ndiomana pia unapendeza..
Wewe bado mrembo sanaUlivo na kabebi fesi lol!!ππ Mimi nikinyoa hujui ni kizeee ni bintiii ni kutoto yani kukomaa si kukomaaa Binti si binti ππππ
Mimi kakwangu kadogo kama katuni π€£π€£π€£π€£π€£ ntachekesha πkichwa kipana tu yaani
hakina jipya
Ebu nioneMimi kakwangu kadogo kama katuni π€£π€£π€£π€£π€£ ntachekesha π