Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Sio wa kumuamini huyo kijana tapeli sana
Sio wa kumuamini huyo kijana tapeli sana
mmhh hayaUnapiga kwenye line nyingine
Unataka laana sio!! Mie Shangazi enu mjue kuwa na adabu😀!Anza ww nimemic kifua chako cha uchokozi
Putin njoo uselfike uache utundu
Jumatatu yote hii mjomba🤔🤔! Samaleko mjomba akee namie!!
Ngoja nitunze haka kapicha.
Nikivaa vaa soksi ntakuwa naangalia huu mguu kama mfano.Hadi nifikie hapo.
Ndio ndiiiooooooooooooooooo watu na wapenze wenyuuuuuu💃💃🤸 😘♥️!sio hao bhana
babe wangu yupo mtaani huku .
Hiyo Independent imenipa kutafakari kumbe bado sijaona mengi...
Hata sijui leo ni lini Shangazi 🙂🙂Jumatatu yote hii mjomba🤔🤔! Samaleko mjomba akee namie!!
😀😀😀 kitu sealed kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣 seems Weekend iliku safiii kabisa mjomba thats good!!🤩Hata sijui leo ni lini Shangazi 🙂🙂
🤭🤭 umeipendaaHiyo Independent imenipa kutafakari kumbe bado sijaona mengi...
Imenishangaza sana, like how do they do it? 😂🤭🤭 umeipendaa
🤣🤣🤣😀😀😀 kitu sealed kabisa
Putin amengangania tu mkaka wa watu.Ndio ndiiiooooooooooooooooo watu na wapenze wenyuuuuuu💃💃🤸 😘♥️!
Unajiua huku wenzio wanendelea kutelezaaa upoyoyo huo!!Bora mnichukue mm kuliko kumchukua yolly yolly ninavyompemda yule binti akiniacha najiua
Hii ina work kwa mandigo team na vi model..Imenishangaza sana, like how do they do it? 😂
Natamani ungeweka kavideo ili kuondoa sintofahamu kichwani mwangu
Huyo mwehuuu Akili zake anazijua mwenyewePutin amengangania tu mkaka wa watu.