Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa kama Joy ni eneo lako la kujidai, ama hapo karibu Live lounge na Deez Pub kwa nini usipajue Six kwenye mnada wa mbuzi...kesho zitajaa Harrier na ndugu zake hapo six balaa. Bwana bwana itabidi niache kula nyama ya mbuzi..its too much now

Huwezi amini sikuwahi pajua kuna siku kwenye group wanapazungumzia nawauliza ni wapi


Nilipita last week jumapili nikaona tu nyomi nikaonyeshwa ni pale.

this weekend nikija Dar nitaenda.

Huwa ni kila jumapili? au?
 
Ni kweli kbsa nadhan mlima kilimanjaro na ajali ya Ndege ni funzo tosha kwa serikali
Kuna kipindi Cha watoto kwenye kisimbuzi Cha dstv sijui kinaitwa Fire and rescue, licha ya kuwa ni kipindi Cha watoto huwa nainjoi namna wanavyoorganize mazoezi yao ya Uokozi na vile wako on time.

Kingine kizuri ni kuwa ikipigwa simu ya tukio la ajali huwa wana digest kuonesha eneo ajali ilipotokea na watumie teknolojia ipi kufanya Uokozi.

Kuna uwezekano hadi makabuli yetu yakafutika kwenye uso wa Dunia tusifike huko walipo wenzetu 😭
 
hata ile series ya Chicago fire iko vizur sana
 
Inapatikana kwenye kisimbuzi gani?

Hiyo katuni ya Uokozi imefanya hadi Kijana wangu Mmoja kutamani kuwa Fire man (angejua njaa iliyopo pale asingetamani)
pale Kuna hela bana Nina ndugu yangu yupo pale yupo vizur tu
Ilikuwa inaoonyeshwa dstv Ila waweza nenda library unawekewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…