Mi mwenyewe nawaza kunyoa na kakichwa kama katuni hapa ndio nawazaaaaππππ!! Juzi nilitoka kufumua zilee nikataka kwenda saluni kunyoa wadada walionifumua wakanisihisihiii usinyoe madam usinyoee nikasuka twende kilioni kwanza izoizo naenda nazo kazini sina mudaaaa!! πππ Ila ntazinyoa siku si nyingi!!