Sasa kama Joy ni eneo lako la kujidai, ama hapo karibu Live lounge na Deez Pub kwa nini usipajue Six kwenye mnada wa mbuzi...kesho zitajaa Harrier na ndugu zake hapo six balaa. Bwana bwana itabidi niache kula nyama ya mbuzi..its too much now
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ malizia tyu mr mandingo kwamba Mbona mate anajiachia na humbani wala neneee same aplies to youππππ Hahahaha.. humu wajua πππππ kitamboooo ππ Habare ya siku mingiβ!