myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
😂 😂Halafu ukiwa hauna hela njaa inauma sana.
Mimi siku bumu likikata ndio unakuta natamani nyama nyama..chips yai yaani.
Hujambo jirani..
😂 😂Halafu ukiwa hauna hela njaa inauma sana.
Mimi siku bumu likikata ndio unakuta natamani nyama nyama..chips yai yaani.
Nimeijua tayari1 kati ya hizo. Baadae wakati wa cheti mkononi, kila kitu kitakua wazi.
Uhakika MasterNaona unaburudika.
Nikuu au nikuache?Nimeijua tayari
Swadakta kabisaaa!Niko salama kabisa mkubwa sjui asubhi yako ipoje?
Good morning PokerGood morning kwa Lenie mke halali wa Mjep
Good morning kwa Saint Anne tulizo la Wigelekelo
Good morning kwa Tinsley kipenzi cha Carrasco putin
Good morning kwa Ntiluseswa mume halali wa cocastic
Good morning kwa myoyambendi jirani wazima taa wa Depal
Good morning kwa Shimba ya Buyenze kipenzi cha mawardat
Good morning kwa bestie zangu Nuzulati na chocolate baby Kelsea
Good morning kwa raraa reree mkwepu Mshana Jr
Good morning kwa mzungu wetu wa sekfika Alayna
Good morning kwa mke wangu kipenzi sophy27
Good morning kwa mke wangu Lovelovie
Salama kabisa hofu kwako nakipenzi chako Carrasco putinGood morning Poker
habari ya leo
Nipo poa kabisaSalama kabisa hofu kwako nakipenzi chako Carrasco putin
Ana bahati sana kumiliki kipotabo kama wewe usiye na makuu wala babambaNipo poa kabisa
Carrasco putin ana baby wake yolly yolly.
mie sio portable , ni kibonge mmoja nimetulia hapa .Ana bahati sana kumiliki kipotabo kama wewe usiye na makuu wala babamba
Eti kibonge we ni potable moja amazing na sura kama Rihanna kimo chako kama nandy alafu maji ya kunde flani hivi soo hot 🔥mie sio portable , ni kibonge mmoja nimetulia hapa .
Ana yolly wake ambaye yuko chuo ...
mie na yeye ni marafiki tu
Hehehe nicheke mie 😂Eti kibonge we ni potable moja amazing na sura kama Rihanna kimo chako kama nandy alafu maji ya kunde flani hivi soo hot 🔥
Tinsley naijua sura yako vizuri ndio maana nasema hivo mpenzi wa Carrasco putinHehehe nicheke mie 😂
hiyo sura ya Rihanna naitolea wapi
ni mfupi eeh .
nikijiangalia najiona kawaida sana
Hahhaa nasikia wewe ni jirani yetu .Tinsley naijua sura yako vizuri ndio maana nasema hivo mpenzi wa Carrasco putin