Selfika na JF: Snap it. Show it

Boss Mjep baby wako wa halali na ndoa yenu imehalalishwa hapa selfika na mashahidi zaidi ya 100 na mimi kama kaka yake Lenie nimeahidi nitahakikisha hamuachani inyeshe mvua liwake jua. Sasa ili kuwamaliza wapambe nuksi hebu mbless na vocha ya voda moyo wake utulie.
 
Yaani wewe ukifa huozi ujue πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndio anibariki na vocha moyo wangu ufurahi
 
Yaani wewe ukifa huozi ujue πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndio anibariki na vocha moyo wangu ufurahi
Hiyo ni uwakika mbona kashanunua vocha tayari we tulia tuli aje aumwagilie moyo wako na vocha ufurahi mwenyewe. Na ameahidi kama utazidisha mapenzi kwake ikiwemo kumjulia hali kila wakati na kumchora tattoo basi atakununulia Jeep Wrangler na atakuhamisha kwa muhindi uje usimamie migodi yake huku bariadi. Lenie nyota yako inang'aaa mama
 
Muulize hiyo tattoo nimchore kwenye paji la uso akiwa anatabasamu au anacheka kabisa? Ili jioni niende kumchora πŸ˜‚ sitaki kuchelewesha

Kuhusu kumjulia hali, ye aniunge tu bando la mwezi mbona atafurahi mwenyewe na kunenepa hadi ashindwe kutembea vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…