Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikifikiria kunawatu unawapa majibu ya kikatili[emoji3][emoji3][emoji3]alafu uanze tu Kwa mtoto wa mtu naonaga km ngoma inaweza kugeuka [emoji23][emoji23][emoji23]wanaume wavumilivu sana aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jibu language huwa n hili.
"Sorry sihitaji kuwa ktk mahusiano, tafuta mtu mwingne"

Akisumbua San namchana sitaki mazoea ya kijinga.
 
Hii nimei C&P

Ngoja niingie site za wazungu huko mbele

Nikijibiwa nakuletea uniandikie jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…