Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Nipo mjukuu. Ni hekaheka tu zimenizidia ila nipo. Huwa napita kimya kimya kuvizia vocha japo nazo zimeadimika sana siku hizi hata sijui tatizo liko wapi.Thank you ,
Nipo poa kabisa vipi wewe ?
habari ya Misungwi
sijakuona humu siku nyingi .
sijambo vipi wewe na baby ako ?Ujambo ww mrembo
Nafurahia kusikia upo BabuNipo mjukuu. Ni hekaheka tu zimenizidia ila nipo. Huwa napita kimya kimya kuvizia vocha japo nazo zimeadimika sana siku hizi hata sijui tatizo liko wapi.
Ukimaliza urud kwenu namtumbo huko usibak dar[emoji41][emoji41][emoji41]Finalist yr umeanza rasmi leo, safari ya miaka 4 ya bachelor degree inaelekea ukingoni. Eeeh Jah nisaidie nihitimishe salamaaa.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 2402752
Baby yupi tena jaman mbona gafla [emoji856]sijambo vipi wewe na baby ako ?
Auntyangu upoBaby yupi tena jaman mbona gafla [emoji856]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nibaki Dar kwa kipi? Naenda kwetu.Ukimaliza urud kwenu namtumbo huko usibak dar[emoji41][emoji41][emoji41]
Za moto sana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tafuta hata danga la dar jaman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nibaki Dar kwa kipi? Naenda kwetu.
Unaiita aunt unataka uninyime nnAuntyangu upo
Mzima wew
hongera aiseeFinalist yr umeanza rasmi leo, safari ya miaka 4 ya bachelor degree inaelekea ukingoni. Eeeh Jah nisaidie nihitimishe salamaaa.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 2402752
😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tafuta hata danga la dar jaman
yolly yollyBaby yupi tena jaman mbona gafla [emoji856]
Huu ni ugonjwaFinalist yr umeanza rasmi leo, safari ya miaka 4 ya bachelor degree inaelekea ukingoni. Eeeh Jah nisaidie nihitimishe salamaaa.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 2402752
Thanks dear [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8].hongera aisee
kila la kheri
Muongooooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Geto languView attachment 2402805
Ugonjwa upi?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu ni ugonjwa