Solution ni mojaana maamgaiko na maisha yake, anashindwa kupambana nayo analeta makasiriko huku, ilihali kila mtu ana yake humu ndani ila tunajikaza kama binadamu wenye akili timamu.
Maxence Melo angalieni feature ya ku edit comment, kuna issue serious watu watafanya edit na kuharibiana leo hii mambo ya kawaida haina shida sana. lakini kuna siku mtu ata edit comment alafu yaweza leta shida na has ukute og comment imefutwa
Pole ndio utuliage sasa jamani mwishoni urogwe tukukoseNilikaokota pale kule uwanja wa fisi manzese nikafikiri katakuwa na tabia nzuri kumbe ni pakashume asiebadirika.. nimenyoosha mikono
Nipo mbali sana best!Location wapi nikaribie
Kazushi kweli, mie kana nifatilia kila thread kana quote kana edit sema nakapotezea kana wivu kweli kweli, kanafatilia kila comment yangu.. na ku edit hata ambazo sio chit chatSolution ni moja
Kutomjibu aachwe hapo tuone atajibishana na nani
Naokoka kabisa, isije siku nikaopoa jini subiyana 🙂🙂🙂Pole ndio utuliage sasa jamani mwishoni urogwe tukukose
Hhahaha kapotezee tu bana usije ukaonekana mjinga kama yeyeKazushi kweli, mie kana nifatilia kila thread kana quote kana edit sema nakapotezea kana wivu kweli kweli, kanafatilia kila comment yangu.. na ku edit hata ambazo sio chit chat
Aahh sawaNipo mbali sana best!
Yan kama ingekua ni hivyo na unavyohangaikaga ungemuokota shetani mwenywe😆Naokoka kabisa, isije siku nikaopoa jini subiyana 🙂🙂🙂
walahi mgetangaza tanzia mwaka huu, kwa kifo cha aibu kabisaa 🤣🤣🤣 nation akutwa ameanguka mtaroni na kufaYan kama ingekua ni hivyo na unavyohangaikaga ungemuokota shetani mwenywe😆
Upo Dar?Aahh sawa
Uvibakishe utuletee
Mtaron nzuri hivo wewe ungekutwa gesti tena mtupu😆😆😆sijui kwnye historia ya marehemu tungesemajewalahi mgetangaza tanzia mwaka huu, kwa kifo cha aibu kabisaa 🤣🤣🤣 nation akutwa ameanguka mtaroni na kufa
Eeeh tutaweka matokeo humu boss unatumia console ganiOnline sio?
Guest za babuuu 🤣🤣🤣Mtaron nzuri hivo wewe ungekutwa gesti tena mtupu😆😆😆sijui kwnye historia ya marehemu tungesemaje
Ndio ndioUpo Dar?
Kwisha habari yako😆😆😆unamuacha aisha anazidi tu kua mremboGuest za babuuu 🤣🤣🤣
Basi utapa zawadi kwa wakati😊Ndio ndio
Aahh sawa naisubiri kwa hamuBasi utapa zawadi kwa wakati😊
🙂🙂🙂 Nimeokokaa bahati nzuri shetani ataniskia kwa bombaa tu.. leo ndio ulisema unapita m city kufanya shopping .. nipo hapa nimevaa uniform za walinzi geti la upande wa kuingia bank ya nbcKwisha habari yako😆😆😆unamuacha aisha anazidi tu kua mrembo
Marahaba, hujambotototoooo chuchuuuuu 🙂🙂