Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana Mkuu
Aisee pole sana, sasa huko ulikuwa unakula nini, tukio lako limefanana na jamaa fulani anaitwa Christopher McCandless alifariki kwenye msitu huko nae aliondoka alikuwa hataki kukaa karibu na watu, jamaa kuna mmea alikula kumbe ni poison, alifariki kwa starvation na poisoning, jamaa nae aliondoka nyumbani kwa wazazi, aligawa pesa zote............ am not good story teller.
Chris McCandless - Wikipedia


Kuna movie inaitwa into the wild ina story yake.. pia kuna kitabu. Tafuta utapata.
 
Take your time to grow
 

Nakuona dogo Msinde
 
Mambo ya kawaida haya
 

Attachments

  • Screenshot_20220816-153729_WhatsAppBusiness.jpg
    18.5 KB · Views: 3
Nashukuru sana Mkuu kwa ushauri mzuri sana..
Yaah nlienda kijijini pia lakini sio kuacha kazi boss wangu
Nlienda nkakaa atleast nkajua nataka nini I feel you bro

Mi nmekua muwazi maybe it may help you

Maisha yana maumivu lakini tunaishi boss na maumivu na uzuri maumivu huwa hayakai milele mwanangu

You just have to live

Live and welcome back to life
 
Umenikumbusha japo sikumbuki vzr ila kati ya mwaka 2016 nilikuwa na kiu kali ya kuspend muda na Mungu sikuwa nataka interaction na watu kbs ila inapobidi sana yaan naweza kutembea nikamuona rafiki anakuja njia yangu kwa haraka nabadili njia ili tusikutane na kuongea pengine mambo yasiyo ya maana.... Muda mwingi nilitamani mawazo yangu yasihame kutoka kwa Mungu nilikuwa hata nikila moyoni nafanya kuongea na Mungu kuhusu vingi vingi hata vile vya kijinga kbs

Kipindi hicho nipo chuo udom na kwa mnaopajua chuo kina vichaka vingi hivyo kila napopata muda nachukua biblia yangu naenda porini napiga magoti naomba nakaa nasoma biblia nachukua simu nasikiliza mahubiri kuna sehemu coed pana mti wa mwembe unaitwa mwembe Eden mitaa hiyo sasa... Wikendi moja nikapanga niende vijiji vya jirani ni spend muda wa siku mbili nikimuomba Mungu na kutembelea wahitaji kijijini niwasaidie na kuwafundisha habari njema...

Nilifanikiwa nikatoka jioni nikiwa na mikate na maji kwenye begi hadi kijiji fulani kinaitwa mapinduzi A nikatafuta eneo tulivu mlimani nikapanda ili nikeshe huko hiyo ni mishale ya saa mbili usiku niliomba na kuimba sikumbuki hadi saa ngapi ila sikutoboa saa sita woga na hofu vikanizidi nikarudi kijijini nikajibanza na mlinzi shuleni hadi asbh nikaondoka...


NB; kipindi hicho nilikuwa mkristo kweli kweli hata mwanamke akijileta namkwepa + nilikuwa HB nilitongozwa hadi na mrembo mkali chotara ila nikachomoa roommate wakaniona boya sana na Mungu alinitendea miujiza mingi ktk maisha yangu directly Ila baada ya kumaliza chuo nimebadilika na kuwa mtu wa hovyo mpenda dunia Mungu anisamehe na ni Imani yangu kubwa atanibadilisha tu mimi ni wake kwa sadaka ya Kristo sitobakia dhambini
 
Hb na ushoga havitengani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…